pole sana mwanmke mwenzangu !mie nakuomBa ona ukimwi ni km magonjwa mengine tu ni kama pumu tu ambayo utaishi nayo milele! nimeishi na ndugu yangu hiv positive alijikubali kwanza mwenyewe !then akafuata mashart ya Dk sasa hv ukiambia anaumwa hutaamini amekuwa na afya nzuri sana sna ! na ww jikubali kwanza mamy !mkabidhi Mungu janga lako !
napia usijione huna thaman tena ya kupenda hapana wapo weeeeeeeeengi mno wenye status kama yako na wanaishi na wenza wenye status moja !naamini ww utapata mwenza atakutoa upweke ulonao ! nakuomba jitahd kutoka out na mwanao nenda beach nenda kanisani imba kwaya nk nk utaona Mungu atakavyokuondolea hizo stress !
wewe ni.................... MZURI NA WATAHAMANI SANA SANA.............
Hayo maneno ya farajaNgweche beautiful hii habari yako inatia mpaka simanzi kuandika, too sad!
Cha muhimu, ikiwa pamoja na michango mingine ni kuwa na positive attitude katika kila kitu kwa ajili yako na mwanao ambae anakuhitaji more than ever kama baba mwenyewe ndo hivyo tena.
Jishughulishe na vitu vinavyokupa furaha hata kama ni kidogo, pamoja na dawa, you will be strong.
Pole sana sana
Mungu awe nawe. Nakupa ushauri kama mmoja nakuomba sana madam una mtoto huyo ndio awe faraja kwako na nakuombea Mungu akupe nguvu na subira na furaha tele kila unapomuona mwanao.
Haya maradhi sio ya kutisha sana siku hizi
Na kama utafanya shughuli zako za kila siku bila kujila roho utapambana
Naamini you too strong mpaka umepata nguvu ya kuandika hapa.
Tupo wazee kwa vijana, kina mama pia na wengine Dada zako humu ambapo wamelia na kutoa michango yao mingi.
Jikaze please pambana kwa afya yako na kwa ajili ya mwanao.
Ntaendelea kuwaombea wote kwa ujumla.
basi niafadhali nife niende mbinguni tu sasa
ni bora useme upo kuliko useme haupo... then ukija kukupata utalia na kusaga menoUkimwi haupo ni mambo ya kufikirika tu