Mapenzi yameamia kwa dada wa kazi

Mapenzi yameamia kwa dada wa kazi

Wanaume mna mambo nyie. Yaani hajajali mke wake yuko dodoma kwa ajili gani yeye huku anawaza mapenzi.

Hebu jifunzeni kuheshimu wake zenu na kuzizuia taama zisizo na faida.
 
daaaah iyo cio tabia nzur image n ww uko safar afu mkeo anataka kufanya ungejickiaje , chepuka nje msio kwa beki tatu siyo ishu asee
 
daaaah iyo cio tabia nzur image n ww uko safar afu mkeo anataka kufanya ungejickiaje , chepuka nje msio kwa beki tatu siyo ishu asee
Halafu mada za wanaume kuchepuka na HGs huwa zinanikera,naona kama wake zetu wanatudharau kwa hizi tabia. Ebu wanaume leteni mada za maana hii michepuko na ma HG fanyeni kibinafsi msilete humu.
 
Back
Top Bottom