Mapenzi yameamia kwa dada wa kazi

Mapenzi yameamia kwa dada wa kazi

FORWARD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
740
Reaction score
296
Habari za mwisho wa wiki, kuna mkasa umemkumba rafiki yangu nilikuaga nae enzi hizoo za sekondari, kwa sasa ameoa na anamtoto mmoja wa miaka minne. Mke wa huyu jamaa yangu anasafiri safiri sana mikoani kikazi maana ilikuwa likianza bunge mkewe alikuwa anakwenda Dodoma mpaka bunge linaisha ndipo hurudi nyumbani ambako huwaacha mume, mtoto na dada wa kazi.
Kutokana na ubize wa mkewe shughuli nyingi za kinyumbani zinafanywa na dada wa kazi. Imefika hatua rafiki yangu ananiambia ana hisi anampenda dada wa kazi kimapenzi maana anatimiza zaidi ya wajibu wake pale kwake..
Mpaka sasa mimi binafsi sina uhakika nimpe ushauri gani au upi unafaa mkewe aache kazi ama atoke na dada wa kazi!!!.?
 
Mwambie aache kuwa MpumbaVu,mkewe anahustle na kupata kipato kinachomfanya achangie mahitaji ya home ndio maana anakula na Chakula kinatulia na hana stress kiasi kwamba excess energy inamfanya awe na nyeg.e za kumtamani housemaid. Mkewe akiacha kazi akawa mzigo au wakipeana talaka ndipo atakapoelewa thamani ya huyo mwanamke.
Kama hakuna sababu nyingine ya ziada au kosa alilofanya huyo mkewe,mwambie atulie na kuacha ujinga.
 
Itakua ni wew na c rafiki yako ila mwanaume lazima ujieshimu sasa ukianza kutoka na bint wa Kaz unahis atakuheshimu Tena kama bos wake wakat anakujua kila kitu, je mkewe akirud unahis bint wa Kaz atamuhedhimu mkewe wakat wanashea mume, huyo ni muhuni tu bora ukachepuke huko nje Lakin heshima ibaki nyumban ndio mambo ya kumpa bint wa watu mimba nakumwaribia maisha yake, mwanaume anayetembea mpaka na house girl huyo ni muhuni kupindukia hakuna kitu hapo
 
Habari za mwisho wa wiki, kuna mkasa umemkumba rafiki yangu nilikuaga nae enzi hizoo za sekondari, kwa sasa ameoa na anamtoto mmoja wa miaka minne. Mke wa huyu jamaa yangu anasafiri safiri sana mikoani kikazi maana ilikuwa likianza bunge mkewe alikuwa anakwenda Dodoma mpaka bunge linaisha ndipo hurudi nyumbani ambako huwaacha mume, mtoto na dada wa kazi.
Kutokana na ubize wa mkewe shughuli nyingi za kinyumbani zinafanywa na dada wa kazi. Imefika hatua rafiki yangu ananiambia ana hisi anampenda dada wa kazi kimapenzi maana anatimiza zaidi ya wajibu wake pale kwake..
Mpaka sasa mimi binafsi sina uhakika nimpe ushauri gani au upi unafaa mkewe aache kazi ama atoke na dada wa kazi!!!.?
Aongee na mke tuu khs hiyo azma yake...
 
Too much details, yaani kama kuna mtu anawafahamu akiona hii thread anawajua hapo hapo.

Kingine huyo jamaa au kama ni wewe muache kuendekeza ujinga yaani mke anapambana na maisha wewe huku nyuma unawaza kummbato mtoto wenu, yes house girl ni mtoto wenu ndiyo
 
Utakuwa umeshamla lakini omba asishike mimba hiyo nyumba utaiona chungu na huwa wagumu kweli kutoa!
 
Nijuavyo Mimi mwanaume huwa anaamua mambo yake mwenyewe , wengine huwa mnakuja kupewa taarifa tu
 
Angekua yeye ndio anahiyo misafara kama ya mkewe,ingekua sawa mke kumpenda House Boy eeh? ebu mwambie ajikaze kiume uko huyo atakua mwanamme wa kuleeeeeeeee maeneo ya wasiokua na Subra kule unakopanda basi mpaka ukifika sio leo...lol
 
Back
Top Bottom