Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 969
- 844
🙄 LOVE TRIANGLE
Mie hata kwenye ndoa kwenyewe sijaingia. Nayaona majanga ya wenzangu yanayonipa mafundisho kupitia changamoto wanazopitia.Yani mama wa watu anajipinda kufanya kazi watoto wanaenda shule, nyumba inajengwa, maisha yote yanaenda sawa, na akiwa home anajitahidi kuwa karibu na mume...halafu mwanaume anamtolea macho dada wa kazi kwa sababu mama hayupo nyumbani muda mwingi. Usaliti gani huu!!!
Kama una uwezo wa kufanya yote yanayohitaji pesa hapo home basi mtafutie mkeo kazi jirani na nyumbani kwako awe anarudi nyumbani saa 9 alasiri. Aache hiyo kazi inayomlazimu kusafiri mara nyingi. Hii habari ni ya kwako mwenyewe ndio maana nimekujibu wewe mwenyewe
Hayanihusu ila ambaye yanamuhusu amenihusisha kwa sababu nanisi yamemshinda.Hayakukuhusu, hayakuhusu, hayajakuhusu na hayatakuhusu. OVA!
Matukio katika maisha mara nyingi yanafanana, wapo wengi wanaopitia changamoto kama hizi za kupinduliwa na dada wa kazi.Too much details, yaani kama kuna mtu anawafahamu akiona hii thread anawajua hapo hapo.
Kingine huyo jamaa au kama ni wewe muache kuendekeza ujinga yaani mke anapambana na maisha wewe huku nyuma unawaza kummbato mtoto wenu, yes house girl ni mtoto wenu ndiyo
Habari za mwisho wa wiki, kuna mkasa umemkumba rafiki yangu nilikuaga nae enzi hizoo za sekondari, kwa sasa ameoa na anamtoto mmoja wa miaka minne. Mke wa huyu jamaa yangu anasafiri safiri sana mikoani kikazi maana ilikuwa likianza bunge mkewe alikuwa anakwenda Dodoma mpaka bunge linaisha ndipo hurudi nyumbani ambako huwaacha mume, mtoto na dada wa kazi.
Kutokana na ubize wa mkewe shughuli nyingi za kinyumbani zinafanywa na dada wa kazi. Imefika hatua rafiki yangu ananiambia ana hisi anampenda dada wa kazi kimapenzi maana anatimiza zaidi ya wajibu wake pale kwake..
Mpaka sasa mimi binafsi sina uhakika nimpe ushauri gani au upi unafaa mkewe aache kazi ama atoke na dada wa kazi!!!.?
ki nini?duh mwambie akitulize
Nina gundu sina bahati:
Nimeshatongoza sana mahouse girl wengi nyumbani na jirani na hela niliwapa lakini wamenitosa tangu utotoni mpaka ukubwani, kinachonisikitisha kaka zangu wamewapata sana kila wanapokuja wanafanya yao. Mpk leo naskia housegirl ni mtamu lkn sijawahi kumuonja ladha yake.
Nikirudi kwenye mada; rafiki yako asitembee na housegirl ataiharibu ndoa huenda housegirl ni mchawi anatumia dawa za mvuto
Uwe wazi tu acha kusingizia...
Ushauri wangu pima maamuzi yako yasitokane na msukumo wa mazingira ya ndoa yako, kwani kutimiza majukumu ya ndani pekee sio kigezo cha ndoa, ni mkusanyiko wa mambo mengi pamoja na upendo wa dhati pande zote...huyo dada ukitaka kumuoa sio kwa sababu ya upendo bali ni tamaa
Formula ya mtu kuchepuka unachepukia mbali usisahau mkuu.Aise pole sana, ila kukusu uchawi inawezekana pia maana ndoa siku mpaka tubembelezwe sana.
kibeberu chakeki nini?
Uko njee ya mada dogo.wekeza akili yako katika mada.Mwambie azungushe mikono kama wale jamaa ataona mabadiliko
basi sawakibeberu chake
Hahahahahahahahahah nomaMwambie azungushe mikono kama wale jamaa ataona mabadiliko