Mapenzi yalivyoniumiza

Mapenzi yalivyoniumiza

Mkuu nimependa tu uandishi wako

Ahsante sana kwa uandishi mzuri wa hadithi upo vyemaaaa
 
kumbe unalala namapepo ngoja cku wakate dushelele ukome kufahamiana na mapepo...
 
inaboa sana hizi stori za nusu nusu, wengine hatukeshi JF bana
 
Basi huyu ndo Simbilisi wa Ndorobo.

usisahau kumsalimia Joseph...

Huyo simbilisi ndugu yake papasi amefwanywajwe........?........Nipe samare maana naona umeshaelewa.........
 
Haa, hapa unaumiaje na picha lenyewe unalijua mwanzo mwisho, tatizo lako we ni domo zege, Maria mwenyewe umemkuta mcharuko ndio maana ulipata mteremko
 
Huyo simbilisi ndugu yake papasi amefwanywajwe........?........Nipe samare maana naona umeshaelewa.........
Ili umwelewe huyu ni lazima uwe na akili mbofumbofu kama ya Nape.

Jamaa lina akili mbofumbofu kama Dakta Mihogo Slaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom