Mapenzi yalivyoniumiza

Mapenzi yalivyoniumiza

Wewe sikia hapana kumjua staff mwenzako _______________ Na ikitokea bahati mbaya mjie mara moja af msahau
 
Eheheeee...

Uliokutana nao uliwachukulia kama "milupo"

Ulipokutana na "mlupo" umefikiri ni pepo....

Na hao uliokutana nao wewe wanakuitaje?????

Anyway...stori nzuri
 
wanawake wanaumiza kichwa aisee. ngoja nipange foleni nione wenzangu wanavyoumia
 
Hadithi imeishia nusu, bado hatujapata fundisho..malizia ili tujue hadithi yako inatufundisha nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom