She died jamani.Hahahaahhahahaahahahahaha Dom A B C D R and F !! Vipi mwl hamisi bado yupo??? Kibibi mdeadly sana yule
Kansa kama sikosei.Uwiii.. Tatizo lilikua nini jamani.. Mungu amlaze mahala pema jamani..
Kwakweli now pamebaki jina tu.Afu ukute ulikua my bed mate wewe hahahahahaha! Moro sec enzi hizo sikuhizi watoto wameharibikaaaa wanauza sura tu hata performance imeshuka sana tofauti na miaka ileeee
Na yule matron yule alikua na roho nyeusiiii bado yupo?? je yule mwl wa kifaransa nae alikua anakaa kule juu hostel yule ambae alichanganyikiwaga mkewe alipokufa kwenye ajali ya treni dodoma vipi bado yupo?! sir Alex je?! Nayule mwalimu wa kiume wa uchumi / maths aliekuaga na adhabu za kijinga jinga kama kakumbatia mti, kupanda kwenye Lile kenta lililoharibika pale nje ya dinning vipi lakini nao wapo??Kwakweli now pamebaki jina tu.
Na yule matron yule alikua na roho nyeusiiii bado yupo?? je yule mwl wa kifaransa nae alikua anakaa kule juu hostel yule ambae alichanganyikiwaga mkewe alipokufa kwenye ajali ya treni dodoma vipi bado yupo?! sir Alex je?! Nayule mwalimu wa kiume wa uchumi / maths aliekuaga na adhabu za kijinga jinga kama kakumbatia mti, kupanda kwenye Lile kenta lililoharibika pale nje ya dinning vipi lakini nao wapo??
Mkangwa alipendwa sana....Jamani mkangwa alihama mpaka alilia yani.. Duh
Dogo kaachwa bombani na mamaye,sasa anawaza na mimi nitakuwa na majukumu kama haya au zaidi
Hapo kwenye dot ujumbe umefika. Vipi angekuwa ni mwanao au mdogo wako?Mm ninapoishi kulikuwa na katoto kamoja kamemaliza form 4 kananiletea mzaha...watt wa cku hizi hawana uoga kbs
Moro schoooooolllll..our schoooooolllll,,, of respect,,, we are proud of youuuu,Mkangwa alipendwa sana....
Alikua akiondoka mabalaa yanaanza.....
Akikaa sana watu wanaomba arudi........
Kama ndo karudi akija pared watu wanapiga shangwe, nyimbo kama kaingia Mokozi wao.....
Nilikuja skis kawa afsa Elimu.......!
Ndio.. Tena huo mwaka avopandishwa cheo nakua afisa elimu iringa ndo nilikua namaliza six pale.. Lakini badae alipata ajali mguu ukaumia vibaya sana na hatimaye kuacha hiko cheo sijui sasa ana hali ganiMkangwa alipendwa sana....
Alikua akiondoka mabalaa yanaanza.....
Akikaa sana watu wanaomba arudi........
Kama ndo karudi akija pared watu wanapiga shangwe, nyimbo kama kaingia Mokozi wao.....
Nilikuja skis kawa afsa Elimu.......!