Mapenzi ya wana Jf

Mapenzi ya wana Jf

ha ha ha! Hapa umenionea Bujibuji... Eti kaka MziziMkavu nimewahi kukugombea? BTW mie I stick to mmoja sitangi tangi... Lol!
bibie.@AshaDii Hujawahi usijali maneno yake Mkuu.@Bujibuji anajifurahisha moyo wake tu. katika Wanawake wa humu ndani ninao wapenda wewe umu pia na@charminglady na afrodenzi na King'asti na Preta na madameb na MadameX Karibuni wote humu ndani wanawke wa Jamii forums ninawapenda na kuwaheshimu usijali bibie maneno ya bujibuji.

Last edited by a moderator:

Hata sie twakupenda sana.
 
Attachments

  • Photo0014.jpg
    Photo0014.jpg
    314.4 KB · Views: 41
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom