Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,007
- 168,597
Utasikia @cillo na Boflo wakiitana darling, dear, hubby nk.
Tena hapohapo utasikia Nazjaz, @charminglady na AshaDii wakimgombea MziziMkavu.
Yaani mapenzi ya humu ni full vagalanti kiasi kwamba haya mfanowe.
Leo katika pitiapitia yangu ya makabrasha mbalimbali nimeweza kupata mfano hai zaidi wa namna ya kuyaelezea mapenzi ya JF.
Huu ndio ukweli wenyewe.