Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
Hahaa ushirombo uniandalie na maziwa ya mgando,mna ng'ombe sana,ndo natoka hapa Lunzewe nakujaHuo ndio maosi wa maana mkuu, ebu achana na hizo chips za Dar ukujage huku Ushirombo ukule mifudi ya maana...[emoji39] [emoji39]
Alafu ameweka kabisa eti ni News Alerttehteehh....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ebu ngoja niendelee kuwafuatilia hadi nielewe hii lugha wallah...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kumrudia Mungu ni jambo moja....je, kupiga porojo na wapita njia huku ukiacha lindo, umeacha pia?tehteehh.....[emoji12] [emoji12]
Skuizi nilisha mrudia Mungu
Mimgumu sana wa kuelewa mkuu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani hujaelewa mkuu?
Ewwaaaaahhhhh........Hahaa ushirombo uniandalie na maziwa ya mgando,mna ng'ombe sana,ndo natoka hapa Lunzewe nakuja
Kwa mishuzi hii lazima kijana atajinyea wallah.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Alafu ameweka kabisa eti ni News Alert
tehteehh......[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kumrudia Mungu ni jambo moja....je, kupiga porojo na wapita njia huku ukiacha lindo, umeacha pia?
HahahahahahaHaya we mtetee tu, au ni wewe nini unayezungumziwa hapa? Kweli utoke mkoani uje kupiga story tu
[emoji23] [emoji23] mie PM nshaifuta sinaMimgumu sana wa kuelewa mkuu...
Ebu ukuje huku PM unieleweshe aiseeee....[emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkumbushe inawezekana anashangaa uzuri wako haamini kama umemletea kitumbua manyoyaHahahahahaha
Sasa kama kazi iliyonileta haijafanyika itabidi tu tupige story maana ndo anazotaka[emoji125]
Hao ni wanaume au tomboys?Usishangae ndio walivyo kulalamika wanawaiga Dada zao
Labda alijua atakutana na mtu wa ndoto zake halafua akakutana na mtu hata kumuentertain ameshindwa. Sasa afanyaje asie chat zake tu.Haya we mtetee tu, au ni wewe nini unayezungumziwa hapa? Kweli utoke mkoani uje kupiga story tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe hujaacha tu haya mambo? Jiandae kurudi milembe day soontehteehh......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Umesahau kuuliza na....[emoji481] [emoji481]
Chizi wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] mkumbushe inawezekana anashangaa uzuri wako haamini kama umemletea kitumbua manyoya
Haha sema jamaa alikosea toka mwanzo mazungumzo yalitakiwa yafanyikie ndaniLabda alijua atakutana na mtu wa ndoto zake halafua akakutana na mtu hata kumuentertain ameshindwa. Sasa afanyaje asie chat zake tu.
Duhhh....[emoji45] [emoji45] [emoji45][emoji23] [emoji23] mie PM nshaifuta sina
Dahhhhh........Hahahahahaha
Sasa kama kazi iliyonileta haijafanyika itabidi tu tupige story maana ndo anazotaka[emoji125]
Hata yakiwa wapi ukiwa bored uko bored tu. Yani huyo kaka kesho ampe nauli mwenzie arudi kwao maana hajapendwa kabisaaaaHaha sema jamaa alikosea toka mwanzo mazungumzo yalitakiwa yafanyikie ndani
Chizi wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]