Mapenzi ya sasa yamedukuliwa

Mapenzi ya sasa yamedukuliwa

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,022
Habari wakuu.

Tatizo gani kiufundi limetokea mbona penzi limekuwa linapatikana kwa urahisi sana tofauti na miaka hiyo.

Principal zimekuwa chache sana leo hii yaani ukichukua namba tu Tayari.

Ukisema uende kuombewa kufika kanisani au msikitini mara nako ni hivyo hivyo.

Yaani kupata mnyanduano kwa sasa ,imekuwa kama kunywa Energy drink ya Mo.
 
Kwaiyo unataka kusema kanisani au msikitini nako wanafanya hayo madudu
 
Habari wakuu.

Tatizo gani kiufundi limetokea mbona penzi limekuwa linapatikana kwa urahisi sana tofauti na miaka hiyo.

Principal zimekuwa chache sana leo hii yaani ukichukua namba tu Tayari.

Ukisema uende kuombewa kufika kanisani au msikitini mara nako ni hivyo hivyo.

Yaani kupata mnyanduano kwa sasa ,imekuwa kama kunywa Energy drink ya Mo.
Maisha yako na kasi mno. Kila mtu ako na vipaumbele vyake.
 
Back
Top Bottom