Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,717
- 62,670
SawaThat's my point
SawaThat's my point
Ntalipa anywe mbili anipm lipa namba 😅Kunywa Pepsi nitalipia...
Hii ni 1/10 yaan kwenye 10 ni 1 tu ndio mwenye mtazamo km wako 9 wote akishabana matako akayatunisha na kuyavimbisha yakatuna na chubana yake yeye anachowaza sio kingine mwanaume ajichanganye amkung'ute pochi yake kwisha habariNa kwanini pesa ichukue nafasi ktk mapenzi? Mimi huwa nashangaa sana wanawake wenzangu wanapotanguliza pesa ktk kuanzisha/kuendelea kimahusiano na mwanaume.
Halafu mwanaume anayekupa pesa kwa mashinikizo ya kudumisha penzi wala hakupendi, wanawake wenzangu mnafeli sana.
Mkiweka pesa mbele mnawakosa wanaume bora, ambao msingetanguliza tamaa mngekula mema ya nchi kivulini.
Mwanaume bora ukiweka tamaa ya pesa mbele unampoteza!
Lipa namba ?Pepsi mbili za nini?
Mpe chipsi na makange ya kuku,..
SawaInakuja inbobo muda si mrefu...
5866296 Airtel Jina Shani Cute weka humoLipa namba ?
Sikazii5866296 Airtel Jina Shani Cute weka humo
5866296 Airtel lipa Jina Shani Cute weka maokoto humoSikazii
Utayalipia5866296 Airtel lipa Jina Shani Cute weka maokoto humo
Kabla hatujaenda mbali tuanzie kwako, vp unagawa utamu bila pesa kwa huyo jamaa ako?Habarini, husika na kichwa cha habari hapo juu.
Toka mapenzi yameanza kuhusishwa na pesa ndio utamu ulipopotea.
Yaani hapa nazungumzia mapenzi yale ya hisia ya kupendana bila kujali pesa. Huwezi zungimza mapenzi bila kusema pesa yaani utamu haupo.
Mwanamke amekuwa akitazamwa kama chombo cha starehe kwa sababu ya pesa kuchanganya mapenzi na pesa. Wanawake wanatumiwa na wanaume kisa tu wanapesa, basi wanawala popote.
Wanawatumia pande zote watakazo maana wamejua wanawake wanataka pesa. Haya yote ni kwakuwa vimechanganywa pesa na mapenzi, hivyo utamu wa mapenzi haupo ule wa kumpenda mtu sio kitu.
Yaani ule utamu halisi wa mapenzi haupo, maana pesa ni tamu na mapenzi matamu.
Kuchanganya mapenzi na pesa ndio kumeharibu uhalisia wa utamu wa mapenzi.
Madam Donatila chungulia humu👇Habarini, husika na kichwa cha habari hapo juu.