Mapenzi ya pesa yameharibu utamu mapenzi

Mapenzi ya pesa yameharibu utamu mapenzi

Habarini, husika na kichwa cha habari hapo juu.

Toka mapenzi yameanza kuhusishwa na pesa ndio utamu ulipopotea.

Yaani hapa nazungumzia mapenzi yale ya hisia ya kupendana bila kujali pesa. Huwezi zungimza mapenzi bila kusema pesa yaani utamu haupo.

Mwanamke amekuwa akitazamwa kama chombo cha starehe kwa sababu ya pesa kuchanganya mapenzi na pesa. Wanawake wanatumiwa na wanaume kisa tu wanapesa, basi wanawala popote.

Wanawatumia pande zote watakazo maana wamejua wanawake wanataka pesa. Haya yote ni kwakuwa vimechanganywa pesa na mapenzi, hivyo utamu wa mapenzi haupo ule wa kumpenda mtu sio kitu.

Yaani ule utamu halisi wa mapenzi haupo, maana pesa ni tamu na mapenzi matamu.

Kuchanganya mapenzi na pesa ndio kumeharibu uhalisia wa utamu wa mapenzi.
Ndo tunataka sasa Ili kuachana iwe rahisi,akikuomba pesa humpi adi mnaachana
 
Lakini Mama pastor kwa mlio kwenye ndoa hamjakiepuka kikombe au bado mnachukuliwa Kama bidhaa
 
Haya niweza kuita malalamiko ila yalitakuwa kutolewa na mwanaume maana yeye ndie mhanga wa mkasa huu.
Huo ndio ukweli, connection kati ya wapenzi wawili kwa sasa ni pesa mengine ni ziada tu.
 
Back
Top Bottom