Nakwambia kila siku Ila unanibishiaga [emoji41]Kuna namna mapenzi yanakua matamu mkikutana wote hamna njaa [emoji39][emoji39]
Unachanganya madesa Baba Mchungaji. Mama Mchungaji amenipa hongera kwa mimi kupata mchumba anayenipenda kikweli bila kujali kama nina pesa ama la!Kwani we hujui kuwa mie nami ni mchungaji?
Nikimtaka najua pa kumpata ili nimpe somo, wajibu wetu wachungaji ni kuwasemea wazinzi.
We mwenyewe umejitapa hapa kuwa ulishawanyadua wajukuu wawili wa George Bush, halafu yeye mama mchungaji badala ya kukukemea uache dhambi eti nakupa hongera, aisee hii sijaipenda kabisa, tulia mie nitamaluzana na mama mchungaji.
Kesi inafanana na yako kwa asilmia kubwa.. ni mara 2 tofauti.. mmoja nilichukua club pale sinza, hii tulifikia hatua nzuri alikuwa anataka ndoa kabisa na bimkubwa wake alikunjua fresh, alikuwa hajiuzi kwa dhiki ni stress za mapenzi tu na ujana(ujinga) ulikuwa unamsumbua,Shusha mkeka tuokote mawili matatu tukayafanyie maboresho
Asante Mama Mchungaji. Achana na huyo Baba Mchungaji. Ni mnafiki! 😁Sio kazi yangu kumhukumu mtu...
Mi nimepongeza kwa kupata Binti aliyetulia...
Hamna bhana😆😆Nakwambia kila siku Ila unanibishiaga [emoji41]
Unabisha tena wew mtotoHamna bhana[emoji38][emoji38]
We jamaa unajua sana kuruka viunzi hadi umempoteza mtumishi mwenzangu 😜Huko Mama Mchungaji naamini wala hajapaona maana angepaona bila shaka sasa hivi angekuwa kwenye maombi akikemea...
Wee umetapeliwaMiaka hiyo nipo kijana bado Niko na nguvu zangu niliwahi nunua CHUDDA mmoja maeneo ya magomeni nikaenda kubanjuka naye lodge, asubuhi kulipokucha namuaga nisepe zangu nawahi usafiri wa kuelekea Mwanza, nampa hela yake akanambia hela yako kaa nayo isipokuwa ninakuomba sana nipe namba yako ya simu....nikampa namba nikaondoka.
Kwenye kuchati naye akanambia ananiomba tuwe wapenzi wa kudumu.......nilipohoji juu ya ombi lake akafafanua hivi;
Kuna nyakati ambazo hata Malaya anayejiuza huwa anapata nyeggge na mshawasha wa asilia kutaka kupigwa miti, hii ni tofauti sana na ile ya kugongwa kwaajili ya kuipatia fedha (kipato).
Kwahiyo point yake ilikuwa akiwa na nyeggge za asilia ananipigia tunakutana namkuna weeee akitosheka kila mmoja anashika njia yake.....
Tulienda enda hivo kiaina baadaye akaanza kuleta mambo ya wivu uliovuka mipaka nikampotezea, japo alikuwa chuma Cha maana halafu fundi kwelikweli.....anamwaga maji ova Bomba la Ruvu chini limepasuka shuka chepechepe.
Pesa ikitangulizwa sana mbele ladha ya penzi inapotea.
Una point katika hili.
Basi nimeacha 😃Unabisha tena wew mtoto
Penzi lenye vikolombwezo vingi vingi ndio tamu,, vikolombwezo hunogesha mahaba/penzi,,vikizidi huvunja Huba lakini vikiwa kwa kipimo cha Huba lenu huimarisha Huba,,pesa ni kimojawapo ya hivyo vikolombwezo,,Nyakati hubadilika,,hubadilisha mazingira na vyote vilivyomo,,utubadilisha pia,,ni jukumu lako kukabiliana nazo au kwenda nazo Kwa akili zaidi ili zisikuathiri kwa matokeo Hasii!!Ndo lipi hilo..?
Ndo lipi hilo..?
Ndoa Takatifu June 2024. We na Mama Mchungaji wako mtuombee tufikie lengo letu 🙏🏿We jamaa unajua sana kuruka viunzi hadi umempoteza mtumishi mwenzangu 😜
Ni kweli hajapaona pale kwa wajukuu wa George Bush, ila mie nimepaona.
Kama ulikomea kuwanyandua siku ile ile basi Mungu alikusamehe.
Huna dhambi sasa baki na huyo aliyekupenda, tulia na huyo huyo, na mie mie nitakazia hiyo" hongera " ya mama mchungaji.
Naanza leo leo kuwaombea.Mchungaji wako mtuombee tufikie lengo letu 🙏🏿
Sure.Kuna namna mapenzi yanakua matamu mkikutana wote hamna njaa 😋😋
Kuna nini tena mama?Kumbee...
Nyie viumbe..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]