Mapenzi ya pesa yameharibu utamu mapenzi

Mapenzi ya pesa yameharibu utamu mapenzi

Au unamtaka Mama Mchungaji 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Kwani we hujui kuwa mie nami ni mchungaji?

Nikimtaka najua pa kumpata ili nimpe somo, wajibu wetu wachungaji ni kuwakemea wazinzi waache uzinzi.

We mwenyewe umejitapa hapa kuwa ulishawanyadua wajukuu wawili wa George Bush, halafu yeye mama mchungaji badala ya kukukemea uache dhambi eti anakupa hongera, aisee hii sijaipenda kabisa, tulia mie nitamaluzana na mama mchungaji.
 
hapa umejichanganya chifu wanawake ndo wanatumia wanaume kwa pesa.

ushajiuliza kwann vijana wanawaacha vijana wenzao wanawakimbilia vibabu
Wapo pia wanawake wanaotumika tena mbele na nyuma kisa pesa...

Wanaume nao wanatumiwa na wanawake kisa pesa...
 
Miaka hiyo nipo kijana bado Niko na nguvu zangu niliwahi nunua CHUDDA mmoja maeneo ya magomeni nikaenda kubanjuka naye lodge, asubuhi kulipokucha namuaga nisepe zangu nawahi usafiri wa kuelekea Mwanza, nampa hela yake akanambia hela yako kaa nayo isipokuwa ninakuomba sana nipe namba yako ya simu....nikampa namba nikaondoka.

Kwenye kuchati naye akanambia ananiomba tuwe wapenzi wa kudumu.......nilipohoji juu ya ombi lake akafafanua hivi;

Kuna nyakati ambazo hata Malaya anayejiuza huwa anapata nyeggge na mshawasha wa asilia kutaka kupigwa miti, hii ni tofauti sana na ile ya kugongwa kwaajili ya kuipatia fedha (kipato).

Kwahiyo point yake ilikuwa akiwa na nyeggge za asilia ananipigia tunakutana namkuna weeee akitosheka kila mmoja anashika njia yake.....

Tulienda enda hivo kiaina baadaye akaanza kuleta mambo ya wivu uliovuka mipaka nikampotezea, japo alikuwa chuma Cha maana halafu fundi kwelikweli.....anamwaga maji ova Bomba la Ruvu chini limepasuka shuka chepechepe.

Pesa ikitangulizwa sana mbele ladha ya penzi inapotea.

Una point katika hili.
Mwamba nakubali
 
Haya mapenzi ya pesa ni mazuri sana kwetu sisi wanaume , yanatupunguzia blabla nyingi na kuokoa mda wa kazi, na kuji bebisha bebisha ovyo.
 
Mapenzi ya wengi siku hizi ni biashara. Unanunua bidhaa...unaitumia utakavyo...unaridhika. Ikikukinai au ukiona imeanza kuchakaa unatafuta bidhaa mpya na bora zaidi...na maisha yanaendelea.

Ila bado wapo mabinti wachache ambao wanajitambua ambao kweli akikupenda anakuwa amekupenda. Ukimbahatisha wa hivyo aisee mshike sana. Mimi nimebahatisha mchumba wa hivyo. Nina bahati sana! [emoji1545][emoji3590]
Hongera mkuu, sisi bdo tunakutana na vichuma ulete huku kutwa
 
Miaka hiyo nipo kijana bado Niko na nguvu zangu niliwahi nunua CHUDDA mmoja maeneo ya magomeni nikaenda kubanjuka naye lodge, asubuhi kulipokucha namuaga nisepe zangu nawahi usafiri wa kuelekea Mwanza, nampa hela yake akanambia hela yako kaa nayo isipokuwa ninakuomba sana nipe namba yako ya simu....nikampa namba nikaondoka.

Kwenye kuchati naye akanambia ananiomba tuwe wapenzi wa kudumu.......nilipohoji juu ya ombi lake akafafanua hivi;

Kuna nyakati ambazo hata Malaya anayejiuza huwa anapata nyeggge na mshawasha wa asilia kutaka kupigwa miti, hii ni tofauti sana na ile ya kugongwa kwaajili ya kuipatia fedha (kipato).

Kwahiyo point yake ilikuwa akiwa na nyeggge za asilia ananipigia tunakutana namkuna weeee akitosheka kila mmoja anashika njia yake.....

Tulienda enda hivo kiaina baadaye akaanza kuleta mambo ya wivu uliovuka mipaka nikampotezea, japo alikuwa chuma Cha maana halafu fundi kwelikweli.....anamwaga maji ova Bomba la Ruvu chini limepasuka shuka chepechepe.

Pesa ikitangulizwa sana mbele ladha ya penzi inapotea.

Una point katika hili.
Ulimnywea Upula nini..?
 
Huyo anajua mwenyewe alichonifanyia Leo asubuhi..
Hapa ndipo umekazia kunihukumu.

Ile inshu tuliimaliza na nipo tayari kukulipa fidia acha kuzingua fidia yako ipo.

Hapa nipo na inshu hii ya huyu msukuma mapepe, lazima tumkemee aache uzinzi, huo ni wajibu wetu watumishi.
 
Back
Top Bottom