Mapenzi ya mjini siyawezi

Mapenzi ya mjini siyawezi

Daaah jf bhanaaa nawapenda bulee..kwa mapondo tuuu... MAPENZI SIO PESA ILA IKIKOSEKANA YANAPUNGUA.

ni vyema ukamuuliza kwanza tatizo lake.kuna shida nyengine huoni pakukimbilia labda alifikilia akakosa mtu wa kumuomba zaidi yako.

Kama unayo mpe then angalia action zake na nn atafanya baada ya hapo.kama huna pia mwambie. Sometimes unaweza kumjudge mtu kimakosa.
 
watu tunatoa pesa, saluni, rav4 grand, na kodi ya nyumba miaka mitatau hatulalami..wee unaombwa TZS 20,000 unapiga kelele??? shwain mkubwa wewe
 
Wiki moja tu ya mahusiano yetu mapya anataka ni mpe 20,000 hama kweli mapenzi ya mjini shida..

Kwanza huyo kajitahidi sana..yaani amekuachia wiki nzima???mi nawajua wale wanaodunga wa siku ya kwanza au ya pili asubuhi yake "baby vibaka wamenipora kila kitu wakati naenda stendi,nirushie hata elfu kumi" au "baby naomba ntumie hela ya nywele elf 15"...dah akina dada mmezidi sindano kwa kweli..yaani si mtukaukie tuwagonge kwanza hata wiki mbili au zaidi jamani!!
 
watu tunatoa pesa, saluni, rav4 grand, na kodi ya nyumba miaka mitatau hatulalami..wee unaombwa TZS 20,000 unapiga kelele??? shwain mkubwa wewe
nyie sura mbovu na swagaaaaless ndomnahonga honga ila wakongwe kama sisi haina haja ya kufanya upimbi wote huo
 
hiyo 20,000/ mbona hata kusukia nywele haitoshi? kununulia sabuni na mafuta ya kujipaka haitoshi.
sasa unalalama nini? Unatudhalilisha wanaume. usianzishe mahusiano kama huna pesa. we endelea tu na punyeto
 
Back
Top Bottom