MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,560
- 41,522
Siuzi na wala sina plan za kuuza.
kama kweli nipe na mimi kidogo tu
20,000Tshs ndo umeianzishia thread? We kaka hata kama ni ubahili we mwenzetu umezidi, hivi uko serious au unatania?
Je unajua kwamba elfu ishirini unaweza kufungua biashara ya pili pili??
pili pili za elfu ishirini unazimaliza ?
Elfu 20 mbona ni hela ya kununulia always........kaka vipi wewe.........
sometimes inauzwa shilingi ngapi ?