wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,840
- 2,330
- Thread starter
- #61
Mbona hapo amekuhurumia sana
Khaaaaa!!!!! Kweli
Mbona hapo amekuhurumia sana
Mambo jimenaKuhusu mzigo inategemea na jinsi mnavyopendana. Mapenzi hayana fomula mkuu
Acha ubahil.....tafuta pesa
Mambo jimena
Safii sanaaaaAfu wanaanza ivi "baby kuna kitu nataka nikwambie ila naogopa..." kwendraa huko wizi mtupu!unaniletea mapenz mapesa,basi tembea na benk ndo iwe mpz wako.Ndani ya miezi mi3 nshapiga vibuti madem 3,hela ninayo na wala sio bahili lkn huwa napenda sn kuwapima watoto wa kike,nikishagundua ww ni mapz pesa nachapa lapa fasta mana ww huna mapz ni mchunaji tu!
Usiwekeze hilo shimo kaka tunza pesa jenga kwanza
Poa tu. Jimena nilikuwa naomba tuwe marafiki.Poa kabisa, mambo vipi?
Acha ujinga mwarabu koko sasa mambo ya segerea ya mekujaje. Kama unataka namba nikupe hiyo 0780008004Nipe namba yake me nimtumie 200,000 saiv,,yan binti wa watu umchafue wiki yote hyo 20 tu unaona taaabu,vya bure vipo segerea
Wiki moja tu ya mahusiano yetu mapya anataka ni mpe 20,000 hama kweli mapenzi ya mjini shida..
20,000 basi na aendelee na sabuni mapenzi hatayaweza
sawa sikatai hupo sahihi lakini sasa ni wiki moja tu bado mjajuwana vizuri. Fikilia tena Bro
Wiki moja tu ya mahusiano yetu mapya anataka ni mpe 20,000 hama kweli mapenzi ya mjini shida..
Toa 20,000 upata mzigo. ha haaaa inaitwa post paid
post- paid au pre-paid?
Nyie mnaosema 20 tu, unaiona ndogo mnajifanua mnajua sana kuonga/kuhongwa cjaelewa kutoa pesa inategemea na kipato cha mtu na matumizi yake mwanaume mwenye malengo hawezi kuwekeza shimo