Mapenzi ya kweli bado yapo.

Mapenzi ya kweli bado yapo.

Hivi umesoma ukanielewa kweli!! Muuza mchicha anajitosheleza kulingana na hali yake. Akiamua kuoa basi atakuwa amajiona anajitosheleza na anaweza kuoa.
Ila wewe umesema pesa hazikutoshelezi,sasa hazikutoshelezi unaoa ili!!! Huoni kama hapo wewe ndio tatizo? Utoshelevu ni dhana dogo hebu elewa hata hilo dogo.
Kuna kijana mmoja anafanya kazi kwa mchina anapata 5000 kwa siku, na ameoa,... Nachojaribu kusema Muombe Mungu akupe hitaji la moyo wako, kama unavyowaza kwa nafasi, nachoweza kusema, Wanawaume watakao oa mwanamke wa dizaini yako ni wachache sana,.. Ila kila la heri
 
wanawake wachache sana wanaopenda hela .shida kubwa ya wanaume hawajiamini,ni waongooo.wanabaki kuvuna walichopanda. kuwa real inalipa sana.wao mashauzi yamewajaa inshort hawana hekima wala busara karika kutafuta wenza wao

Bebi mi ni mbeba maboksi tu kwa Trump.

Utanikubali?
 
Kuna kijana mmoja anafanya kazi kwa mchina anapata 5000 kwa siku, na ameoa,... Nachojaribu kusema Muombe Mungu akupe hitaji la moyo wako, kama unavyowaza kwa nafasi, nachoweza kusema, Wanawaume watakao oa mwanamke wa dizaini yako ni wachache sana,.. Ila kila la heri
Na bahati nzuri atakaenioa ni mmoja tu.

Alafu kumbe suluhisho unalo kabisa alafu upo busy kulaumu!!!!
 
Mifano iko kibaoooo, mbona makonda, bodaboda,wafagia barabara nk wengi tu wameoa na sijaona anayelalamika kukosa mke!! Au unafikiri wanaoa wanaume?

Ngoja niandae notisi zangu nitakujibu kesho mama.
 
Back
Top Bottom