Usiseme mwanaume asiyejitambua nyie mnajitambua,... Mimi nina jirani yangu anauza duka la chakula, ameomwoa mwanamke, yule mwanamke kamwibia million 5 ,kwa kazi yake ni hela nying, alichofanya yule mwanamke, anahonga kwa viben10,nyie wanawake mmebadilika sana, na hata kama yupo mwenye upendo wa dhati, atakua na mapungufu mengine kweny ndoa ambayo hayabebeki,... Nachojarib kusema Wanawake
mmekua changamoto kubwa sana, in general mapenzi yamekua komplex sana siku izi, hasa yamjini,Tamaa imeshika hatamu sana