definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
Dah.. nitakuwa na saliti chama la wana.. ngoja niendleze chambo kwny ndoano.Naona unataka kuvua samaki kwa ndoano isiyo na chambo.
Dah.. nitakuwa na saliti chama la wana.. ngoja niendleze chambo kwny ndoano.Naona unataka kuvua samaki kwa ndoano isiyo na chambo.
Habari wanabodi, leo nilikua nasoma uzi flani hivi ukanikumbusha miaka kadhaa nyuma.
Kipindi tupo chuo mwaka wa pili, room mate alikutana na mkaka mmoja hivi katika kuelezana unakaa wapi na unafanya kazi gani, yule kaka akasema yeye ni boda boda....basi bibie baada ya muda flani wakaanza date na yule kaka.
Basi kama kawaida ya wadada tukawa tunashangaa tu mbona kakutana na watu wengi wenye wadhifa lakini kawakataa kamkubali bodaboda ila msimamo wake ilikua ni anampenda yule kaka.
Baada ya miezi 6 yule kaka akaja kumuambia ukweli yeye sio boda boda ni mhasibu mkuu ofisi flani hivi ya serikali, na alimuambia vile ili kumtega kama kweli anampenda.
Now wameoana na wana watoto 2 na wanaishi kwa furaha na amani kwenye ndoa yao.
Kaka zangu wanawake wenye mapenzi ya dhati bado wapo, huwa nikisoma humu comments mbali mbali naona wanaume wengi hawaamini kama bado kuna wanawake ambao fedha kwao sio kipaumbele.
Wa wachepukaji?Mimi Rais nipende basi
Ila mbona unajichanganya umesema mwanaume huna pesa za kutosha unajitakiaje kuoa,..Hivi mnaishi dunia ipi wenzetu!!! Mie mifano ninayo kibaooooo, rafiki yangu ana masters kaolewa na std 7,yaani walianzia chini sana leo wapo pengine kabisa, mwingine ana degree na mumewe ana diploma na wanaishi maisha yao vyema tu, mwingine ana degree mumewe pia ana degree,binti ana kazi nzuri mumewe ndio kwanzaa anahangaika na vibiashara maana alikosa ajira nk nk nk nk!!!
Saa nyie mnaolalamika ndio nashindwa kuwaelewa, basi ninyi ndio tatizo.
Haya.Khaaa mtutue basi
Hapana, mnawaambia kile mnachotamani kuwa ila hamtumii juhudi kuwa hivyo.Ila eli katika Hip hop kuna kauli tunasema ukiona shabiki ni kuku basi watemee pumba au mchele wadonoe...
Wanaume wanawaambia wanawake wanachotaka kuskia
Unasema wanawake wanapenda kuwalaumu ilihali Kila comment yako unalaumu, sasa hapo sijui tatizo ni nani?!!!!!Hawatuwezi, sisi hatutabaki tulivyo,... Wanawake wanapenda kutulaumu sana, wakati source ya kututoa mbinguni ni wao, teh teh
Aiseeh na wewe umekaa unachat, juhudi afanye mume peke yake,... Anyway all the bestHapana, mnawaambia kile mnachotamani kuwa ila hamtumii juhudi kuwa hivyo.
Mi lawama zangu labda zimekuja kutokana na experience so, by any chance tatizo liko upande wangu to forgive, lakini kila siku naona matukio mengi mengi wanawake kukosa utu kweny mapenzi hata ndoa, kwa iyo kulaumu kwangu kuna mantiki,Unasema wanawake wanapenda kuwalaumu ilihali Kila comment yako unalaumu, sasa hapo sijui tatizo ni nani?!!!!!
Nakuona hadi unaandika huku unagugumia furahia upendo
Wa nchiWa wachepukaji?
Tumeshuhudia wanaume wengi mwanamke anampenda akiwa kapuku tena lofa kweli kweli, wakipata mali wanaume wanabadilika wanakuwa malaya,wanakuwa na dharau na hata kuzitelekeza familia kabisa.Usawa huu kumpata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli ni zali km alopata Bikira Maria la kubeba mimba pasipokukutana na mwanaume,wengine umu wanasingizia et wanadanganywa ,tumewashuudia ambao wameolewa kwa kufahamiana sana kiasi kwamba mwanaume haitaji wala kuelezwa juu ya maisha yake,lakini pale ndani uchumi unapoyumba mke anabadilika nakua fisi ndani ya nyumba na asa kwa wanawake walioajiliwa tabu sana awa kuishi nao vizur usiyumbe kiuchumi yan atakama ulimsomesha ww nakumtaftia kaz atabadilika mpaka utatamani uame nyumba.Wanaume wengi wanavumilia kwa sababu ya watoto tu vinginevyo nibalaa tupu.
Ila mwenyewe mwongo simpendi nafikiri unajua hiloHapana, mnawaambia kile mnachotamani kuwa ila hamtumii juhudi kuwa hivyo.
Nashukuru Daby
Hivi umesoma ukanielewa kweli!! Muuza mchicha anajitosheleza kulingana na hali yake. Akiamua kuoa basi atakuwa amajiona anajitosheleza na anaweza kuoa.Ila mbona unajichanganya umesema mwanaume huna pesa za kutosha unajitakiaje kuoa,..
Nyie hamjielewi, sasa kama mtu anauza mchicha pesa zinajitoshelezeshaje apo, we kubali kataa hakuna mapenzi ya dhati, tunasaidiana kula ngano tu tujaze vitambi,
Uliambiwa utakula kwa jasho remember!!!Aiseeh na wewe umekaa unachat, juhudi afanye mume peke yake,... Anyway all the best
AiseehUliambiwa utakula kwa jasho remember!!!
Hahahaaaa!! Yes i know my kaka.Ila mwenyewe mwongo simpendi nafikiri unajua hilo