Unaona hata jibu huwez kulitoa ndo nifanye maamuzi magumu yakukuamini,.. Wanawake wanaua waume zao kwa sabab ya mali, afu ndo nijitolee kukuamin,.. Wewe mwenyew ujitambui kama unaitaj pesa au penzi,.. Ndo nikupe kitu usichokijua, niumie mimi thubutu, we olewa na hao wanaokuamini, ila moyo wangu wakutomwamini sungura yoyote hata iweje niachie mimi,Nawe mwanaume huna pesa za kutosha unaoa ili ugundue nini?
Ahsante kushkuru, na wewe baki na Imani yako mkuu,Neno langu sio sheria baki na imani yako mkuu.
Mkuu mm ninaona hao walishakufaga tangia viya ya pili ya duniHabari wanabodi, leo nilikua nasoma uzi flani hivi ukanikumbusha miaka kadhaa nyuma.
Kipindi tupo chuo mwaka wa pili, room mate alikutana na mkaka mmoja hivi katika kuelezana unakaa wapi na unafanya kazi gani, yule kaka akasema yeye ni boda boda....basi bibie baada ya muda flani wakaanza date na yule kaka.
Basi kama kawaida ya wadada tukawa tunashangaa tu mbona kakutana na watu wengi wenye wadhifa lakini kawakataa kamkubali bodaboda ila msimamo wake ilikua ni anampenda yule kaka.
Baada ya miezi 6 yule kaka akaja kumuambia ukweli yeye sio boda boda ni mhasibu mkuu ofisi flani hivi ya serikali, na alimuambia vile ili kumtega kama kweli anampenda.
Now wameoana na wana watoto 2 na wanaishi kwa furaha na amani kwenye ndoa yao.
Kaka zangu wanawake wenye mapenzi ya dhati bado wapo, huwa nikisoma humu comments mbali mbali naona wanaume wengi hawaamini kama bado kuna wanawake ambao fedha kwao sio kipaumbele.
Mifano iko kibaoooo, mbona makonda, bodaboda,wafagia barabara nk wengi tu wameoa na sijaona anayelalamika kukosa mke!! Au unafikiri wanaoa wanaume?Okay, lakini hiyo ni zamani, je una mfano ambao ni latest?
sio wakati huu wa mwendokasi,wanawake mkiona hela moyo wote unamwagika...usiniulize unamwagikaje.Wapo Mkuu hata kama ni wachache ila bado wapo
Watakua wanaoa makonda wenzao ao,.. Ila mimi siamin eti mwanamke una degree alafu imekosa kazi, unaanza kutembeza mchicha, uuze ujenge mtaji,.. Au karanga, yeye anakuvumilia, sio mjini asee,Mifano iko kibaoooo, mbona makonda, bodabida,wafagia barabara nk wengi tu wameoa na sijaona anayelalamika kukosa mke!! Au unafikiri wanaoa wanaume?
Mie ninachokihitaji nakijua vizuri sanaaaa.Unaona hata jibu huwez kulitoa ndo nifanye maamuzi magumu yakukuamini,.. Wanawake wanaua waume zao kwa sabab ya mali, afu ndo nijitolee kukuamin,.. Wewe mwenyew ujitambui kama unaitaj pesa au penzi,.. Ndo nikupe kitu usichokijua, niumie mimi thubutu, we olewa na hao wanaokuamini, ila moyo wangu wakutomwamini sungura yoyote hata iweje niachie mimi,
Hivi mnaishi dunia ipi wenzetu!!! Mie mifano ninayo kibaooooo, rafiki yangu ana masters kaolewa na std 7,yaani walianzia chini sana leo wapo pengine kabisa, mwingine ana degree na mumewe ana diploma na wanaishi maisha yao vyema tu, mwingine ana degree mumewe pia ana degree,binti ana kazi nzuri mumewe ndio kwanzaa anahangaika na vibiashara maana alikosa ajira nk nk nk nk!!!Watakua wanaoa makonda wenzao ao,.. Ila mimi siamin eti mwanamke una degree alafu imekosa kazi, unaanza kutembeza mchicha, uuze ujenge mtaji,.. Au karanga, yeye anakuvumilia, sio mjini asee,
Usiseme mwanaume asiyejitambua nyie mnajitambua,... Mimi nina jirani yangu anauza duka la chakula, ameomwoa mwanamke, yule mwanamke kamwibia million 5 ,kwa kazi yake ni hela nying, alichofanya yule mwanamke, anahonga kwa viben10,nyie wanawake mmebadilika sana, na hata kama yupo mwenye upendo wa dhati, atakua na mapungufu mengine kweny ndoa ambayo hayabebeki,... Nachojarib kusema WanawakeMie ninachokihitaji nakijua vizuri sanaaaa.
Swali lako ni la mwanaume asiyejitambua, asiyejiamini wala asiyejua nini anataka.
Pesa za kutosha ni kiasi gani!? Zinazomtosha boda boda ni tofauti na zinazomtosha manji, kwahiyo basi siwezi kuolewa na mwanaume asiye na pesa za kutosha, na hapa ninapozungumzia za kutosha mimi ndio natambua huo utoshelevu ninaouongelea.
Naona unataka kuvua samaki kwa ndoano isiyo na chambo.Itabidi niwe mkwel kwanzia leo alafu nione kama katika 100 sita otea 1...![]()
Wako wapi na mimi nijipatie mmoja, manake mimi siwaoni, mi naona wanawake, wanatufata wanasema wanaume zao hawaridhishi, sasa wana tafuta wakuwaridhisha,..hamna mapenz mpaka mtu achoshwe na maisha, get tied get laid,Hivi mnaishi dunia ipi wenzetu!!! Mie mifano ninayo kibaooooo, rafiki yangu ana masters kaolewa na std 7,yaani walianzia chini sana leo wapo pengine kabisa, mwingine ana degree na mumewe ana diploma na wanaishi maisha yao vyema tu, mwingine ana degree mumewe pia ana degree,binti ana kazi nzuri mumewe ndio kwanzaa anahangaika na vibiashara maana alikosa ajira nk nk nk nk!!!
Saa nyie mnaolalamika ndio nashindwa kuwaelewa, basi ninyi ndio tatizo.
Hahahaaaaa! Imenibidi nicheke tu. Hivyo we malaika? Hauna mapungufu? Wanawake wakati wanabadilika nyie mlikuwa sayari gani mkawa static!!!! Your wrong path ndio inayokuhunt, jichunguze kwanza, you atracts what you are.Usiseme mwanaume asiyejitambua nyie mnajitambua,... Mimi nina jirani yangu anauza duka la chakula, ameomwoa mwanamke, yule mwanamke kamwibia million 5 ,kwa kazi yake ni hela nying, alichofanya yule mwanamke, anahonga kwa viben10,nyie wanawake mmebadilika sana, na hata kama yupo mwenye upendo wa dhati, atakua na mapungufu mengine kweny ndoa ambayo hayabebeki,... Nachojarib kusema Wanawake
mmekua changamoto kubwa sana, in general mapenzi yamekua komplex sana siku izi, hasa yamjini,Tamaa imeshika hatamu sana
Sawa mkuuHeri anae amin pasipo kuona
Pamoja mzaziNdio Mwanangu wacha tuzitafute ili tuwe tunachukua tunachokitaka sio kilichochokwa na wengine