Mapenzi ya kweli bado yapo.

Mapenzi ya kweli bado yapo.

Ni mungu tu alimpangia huyo Csta. Alafu upendo ukiwa pande zote mambo yanaendaga tu yenye. Ila pesa nayo inahusika sana huyo jamaa angendelea kusema yeye ni boda boda labda kwa miezi 6 kwenda juu angeachiwa nyoya tu.
 
Hata mimi nilikuwa siamini ila sasa hivi kidoogo naanza kuamini...
*siombei mabaya ila huyu akiendelea hivi basi atakuwa mke wangu wa ndoa hasa, she is simple and real. Ananifanya hata mm niwe real na nijiamini zaidi...
What is being simple? In layman's language....!!! Ili na wengine wajifunze kuwa "simple" pia... Mr Miller!!
 
Ni mungu tu alimpangia huyo Csta. Alafu upendo ukiwa pande zote mambo yanaendaga tu yenye. Ila pesa nayo inahusika sana huyo jamaa angendelea kusema yeye ni boda boda labda kwa miezi 6 kwenda juu angeachiwa nyoya tu.
After miezi 6 ndiyo alimuambia ukweli, may be kuanzia mwaka angebadilika ila mmh sidhani
 
wanawake wachache sana wanaopenda hela .shida kubwa ya wanaume hawajiamini,ni waongooo.wanabaki kuvuna walichopanda. kuwa real inalipa sana.wao mashauzi yamewajaa inshort hawana hekima wala busara karika kutafuta wenza wao
Jinsi ambavyo umeshahudhuria hizi lodge hapa mjini walahi nakuambia kuna lodge zitaanza kuitwa Miss Natafuta!!
 
Tatizo wengine hawajiamini wanaona wakiongea ukweli labda watakataliwa
Bora uongee ukweli ukataliwe kuliko udanganye uje uadhirike baadae kama yule aliyekutwa jikoni hotelini wakati kajigamba yeye anafanya TPA. Uongo wa namna hiyo sio mzuri kwakweli, kama ni kudanganya jishushe chini ili ukija julikana kua wewe ni matawi basi iwe ni surprise kwa mwenzio. Uongo wa kutaka kumharibia mwenzio maisha(maana kila mtu ana ambition zake na background yake) sio mzuri
 
Back
Top Bottom