Mapenzi ya kweli bado yapo.

Nawe mwanaume huna pesa za kutosha unaoa ili ugundue nini?
Unaona hata jibu huwez kulitoa ndo nifanye maamuzi magumu yakukuamini,.. Wanawake wanaua waume zao kwa sabab ya mali, afu ndo nijitolee kukuamin,.. Wewe mwenyew ujitambui kama unaitaj pesa au penzi,.. Ndo nikupe kitu usichokijua, niumie mimi thubutu, we olewa na hao wanaokuamini, ila moyo wangu wakutomwamini sungura yoyote hata iweje niachie mimi,
 
Katika wanaume wenye hela keshi ni bodaboda!wana hela acheni sio wa kuwaona makapuku
 
Mkuu mm ninaona hao walishakufaga tangia viya ya pili ya duni
 
Mifano iko kibaoooo, mbona makonda, bodabida,wafagia barabara nk wengi tu wameoa na sijaona anayelalamika kukosa mke!! Au unafikiri wanaoa wanaume?
Watakua wanaoa makonda wenzao ao,.. Ila mimi siamin eti mwanamke una degree alafu imekosa kazi, unaanza kutembeza mchicha, uuze ujenge mtaji,.. Au karanga, yeye anakuvumilia, sio mjini asee,
 
Mie ninachokihitaji nakijua vizuri sanaaaa.
Swali lako ni la mwanaume asiyejitambua, asiyejiamini wala asiyejua nini anataka.

Pesa za kutosha ni kiasi gani!? Zinazomtosha boda boda ni tofauti na zinazomtosha manji, kwahiyo basi siwezi kuolewa na mwanaume asiye na pesa za kutosha, na hapa ninapozungumzia za kutosha mimi ndio natambua huo utoshelevu ninaouongelea.
 
Watakua wanaoa makonda wenzao ao,.. Ila mimi siamin eti mwanamke una degree alafu imekosa kazi, unaanza kutembeza mchicha, uuze ujenge mtaji,.. Au karanga, yeye anakuvumilia, sio mjini asee,
Hivi mnaishi dunia ipi wenzetu!!! Mie mifano ninayo kibaooooo, rafiki yangu ana masters kaolewa na std 7,yaani walianzia chini sana leo wapo pengine kabisa, mwingine ana degree na mumewe ana diploma na wanaishi maisha yao vyema tu, mwingine ana degree mumewe pia ana degree,binti ana kazi nzuri mumewe ndio kwanzaa anahangaika na vibiashara maana alikosa ajira nk nk nk nk!!!

Saa nyie mnaolalamika ndio nashindwa kuwaelewa, basi ninyi ndio tatizo.
 
Usiseme mwanaume asiyejitambua nyie mnajitambua,... Mimi nina jirani yangu anauza duka la chakula, ameomwoa mwanamke, yule mwanamke kamwibia million 5 ,kwa kazi yake ni hela nying, alichofanya yule mwanamke, anahonga kwa viben10,nyie wanawake mmebadilika sana, na hata kama yupo mwenye upendo wa dhati, atakua na mapungufu mengine kweny ndoa ambayo hayabebeki,... Nachojarib kusema Wanawake
mmekua changamoto kubwa sana, in general mapenzi yamekua komplex sana siku izi, hasa yamjini,Tamaa imeshika hatamu sana
 
Wako wapi na mimi nijipatie mmoja, manake mimi siwaoni, mi naona wanawake, wanatufata wanasema wanaume zao hawaridhishi, sasa wana tafuta wakuwaridhisha,..hamna mapenz mpaka mtu achoshwe na maisha, get tied get laid,
 
Hahahaaaaa! Imenibidi nicheke tu. Hivyo we malaika? Hauna mapungufu? Wanawake wakati wanabadilika nyie mlikuwa sayari gani mkawa static!!!! Your wrong path ndio inayokuhunt, jichunguze kwanza, you atracts what you are.

Hakuna binadamu asiye na mapungufu, tukianza kuzungumzia mapungufu yenu hapa hapatatosha. Hivi hamjiulizi kwanini wanawake hawaliilii kama ambavyo wanaume mwafanya siku hizi!!!!
Hebu kuweni wanaume jamani, rudini ktk nafasi zenu, zishikeni na mzitendee haki ipasavyo alafu muone kama mtalia lia tena!!

BTW we endelea kuwalaumu wanawake, wenzio wanaoa na kuolewa daily.
Chukua size yako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…