Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
sijui hata nimueleze vipi, ilaWhat is being simple? In layman's language....!!! Ili na wengine wajifunze kuwa "simple" pia... Mr Miller!!
first time nilimuona na kupga nae story....she was real, she was simple!
Msweet umenipa swali gumu yani!
au sijui ndo kupenda, maana jinsi nilivyomuona na nilivyokuwa namfikiria ni tofauti sana...tulipoanza kupiga story ndio nikajikuta nampenda zaidi,
nikajifunza kitu kwa muda mfupi....sio wale ukimuona na story zake ukiongea nae unajua huyu pasua kichwa!

