Mapenzi ya kugandana siyapendi

Mapenzi ya kugandana siyapendi

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,788
Reaction score
8,755
Kila muda na SAA
Uko wapi baby
unafanya nn dear?
umekula? Chakula gani?
Mbona huja nambia?

Mbona hujibu text zangu,
Mbona hujapokea simu yangu?
Ulikuwa wapi?

Kero, kero kero mtindo mmoja

Nina akili timamu, na kuwa na uhusiano nawe niliamua mwenyewe kwa hiari yangu pasi na kulazimishwa na mtu, iweje utake kunifanya rimoti hivyo?

Sipendi hizi vurugu
 
Kwani unalazimishwa kumjibu akipiga sim usipokee akituma sms usijibu uone kama atandelea
 
Kila muda na SAA
Uko wapi baby
unafanya nn dear?
umekula? Chakula gani?
Mbona huja nambia?

Mbona hujibu text zangu,
Mbona hujapokea simu yangu?
Ulikuwa wapi?

Kero, kero kero mtindo mmoja

Nina akili timamu, na kuwa na uhusiano nawe niliamua mwenyewe kwa hiari yangu pasi na kulazimishwa na mtu, iweje utake kunifanya rimoti hivyo?

Sipendi hizi vurugu
Sasa si ungemfesi na kumchana mkuu, unakuja huku atajuaje kama hupendi
 
Back
Top Bottom