Weeee nakaba hadi penati nyaku nyaku wasikunyakueNdo maana kumbe sipumui ,umekaba mpaka kimvuli.
Hakika mama.Weeee nakaba hadi penati nyaku nyaku wasikunyakue
Sikiliza wimbo wa Aslay-nimekubali...hawa watoto sometimes wanataka care aiseeKila muda na SAA
Uko wapi baby
unafanya nn dear?
umekula? Chakula gani?
Mbona huja nambia?
Mbona hujibu text zangu,
Mbona hujapokea simu yangu?
Ulikuwa wapi?
Kero, kero kero mtindo mmoja
Nina akili timamu, na kuwa na uhusiano nawe niliamua mwenyewe kwa hiari yangu pasi na kulazimishwa na mtu, iweje utake kunifanya rimoti hivyo?
Sipendi hizi vurugu