Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,723
- 11,336
Mtu anayekuuliza sana kila mara wapi upo uwe makini naye.Mara nyingi Hawa Huwa Wana ratiba nyingi hivo anataka ajue ulipo naye afanye yake
Hahahahaha mtihani shekheKibaya yake hujapokea kisha namba mpya unapokea kwa madaha.
Umesema neno mkuuMtu anayekuuliza sana kila mara wapi upo uwe makini naye.Mara nyingi Hawa Huwa Wana ratiba nyingi hivo anataka ajue ulipo naye afanye yake
Hahahahaha sio nimpige chiniSi uliamua mwenyewe ku-date na mtoto/KE asiye na shughuli ya kufanya...vumilia tu
itapendeza zaidi..Hahahahaha sio nimpige chini
Anakupenda ndo maana ila ukiachwa utarudi kulalamikaKila muda na SAA
Uko wapi baby
unafanya nn dear?
umekula? Chakula gani?
Mbona huja nambia?
Mbona hujibu text zangu,
Mbona hujapokea simu yangu?
Ulikuwa wapi?
Kero, kero kero mtindo mmoja
Nina akili timamu, na kuwa na uhusiano nawe niliamua mwenyewe kwa hiari yangu pasi na kulazimishwa na mtu, iweje utake kunifanya rimoti hivyo?
Sipendi hizi vurugu