Nimecheka mwenyewe....Brock=Block
Kurizwa=Kuulizwa
Swari = Swali
Yareyare= Yaleyale
Nimecheka mwenyewe....Brock=Block
Kurizwa=Kuulizwa
Swari = Swali
Yareyare= Yaleyale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wavulana mkidate na mabinti taaabu,mabinti mkidate na wavulana shiiiiiidaaaaaa.
NakupendaWw unapenda uangushwage tu halaf basi
Mkuu umemwambia mwenyewe au unatueleza ss au unataka ushaurKila muda na SAA
Uko wapi baby
unafanya nn dear?
umekula? Chakula gani?
Mbona huja nambia?
Mbona hujibu text zangu,
Mbona hujapokea simu yangu?
Ulikuwa wapi?
Kero, kero kero mtindo mmoja
Nina akili timamu, na kuwa na uhusiano nawe niliamua mwenyewe kwa hiari yangu pasi na kulazimishwa na mtu, iweje utake kunifanya rimoti hivyo?
Sipendi hizi vurugu
KweliUtakuwa humpendi tu
Hahaaaa humu jf humu!!!, naleo ni jumapili inabidi kufanya editing ya maana sababu watu hawako bize wanasoma kilaneno.Brock=Block
Kurizwa=Kuulizwa
Swari = Swali
Yareyare= Yaleyale
[emoji409]Siku ukipenda utafurahia hayo maswali utataka ajue unaendeleaje,utataka akujali ,ajue mizunguko yako nk.... sio wengine anaweza hata akasafir mpenzye asijue khaaaaaa !!!!
Raha saana kupendwa .....
Naleo= Na leoHahaaaa humu jf humu!!!, naleo ni jumapili inabidi kufanya editing ya maana sababu watu hawako bize wanasoma kilaneno.
Hahaaaa no space.Naleo= Na leo
Kilaneno= Kila neno
Hapana nasubiri ajira za udaktari kule chatoHahaaaa no space.
Mkuu kunafursa ya walimu 1200 peleka vyeti itapendeza sasa.
Uchautani mkuu, udactari siokazi ya mchezo mchezo, kwamfano kukiwa na wodi ya vichaa utaweza kumtibu kichaawewe.Hapana nasubiri ajira za udaktari kule chato
Wenyewe wanaona huko ndio kujali/ kupenda!Kila muda na SAA
Uko wapi baby
unafanya nn dear?
umekula? Chakula gani?
Mbona huja nambia?
Mbona hujibu text zangu,
Mbona hujapokea simu yangu?
Ulikuwa wapi?
Kero, kero kero mtindo mmoja
Nina akili timamu, na kuwa na uhusiano nawe niliamua mwenyewe kwa hiari yangu pasi na kulazimishwa na mtu, iweje utake kunifanya rimoti hivyo?
Sipendi hizi vurugu
Nawatibu wamama vichaa watanishinda kweli mkuuUchautani mkuu, udactari siokazi ya mchezo mchezo, kwamfano kukiwa na wodi ya vichaa utaweza kumtibu kichaawewe.