Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,067
- Thread starter
- #21
Hii taarifa imekaa njema ndugu kama ungeweza kuweka na dalili za fangus wa mdomon ingesaidia sana kwa mtu kujigundua kama ana tatizo hlo.
thanx kwa elimu
Huu ni uambukizo wa fungus kwenye ulimi. Mara nyingi ukiona uchafu mweupe unatoka ukeni ni dalili za uambukizo. Sasa kwa wanyonyaji wa k wanahamishia hawa wadudu mdomoni, loh!