Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,067
Mara nyingi tumekuwa tukipenda kufanya hili tendo kwa staili tofauti na kuongeza vikorombwezo kibao mfano; kuzama chumvini, kunyonya uume, denda nk ili tufurahie na kuonekana tunajua.
Lakini yale tunayoyafanya tunasahau kuwa yana athari zake.
Naomba kushare nanyi vitu nilivyowahi kutana navyo ili kuweza kushauriana. (Sorry kwa watakaokwazika, simaanishi vile mtakavyochukulia.) Kuna watu(clients)zaidi ya 20 nimekuwa nikukutana nao wakiumwa fangasi wa mdomoni kwa muda mrefu(persistent oral candidiasis) licha ya kupewa matibabu.
Ni HIV negative( hii hutokea mara nyingi kwa watu wenye upungufu wa kinga)na wanafanya normal penetrative vaginal sex. Matatizo mengine hamna na wala hawatumii antibiotics kwa muda mrefu.
Nilipoulizia zaidi kuhusu kugegedana kwao nikajua kwamba huwa wananyonyana nyeti zao pindi wanapokuwa pamoja ili wafurahishane.
Nikawashauri kuacha michezo hiyo wakaafiki na hawajarudi tena na tatizo zaidi ya kutoa shukrani.
Ni kitu kisichostusha kwa mwanamke kuwa na fangasi ukeni hasa kwa wajawazito.
Mwanamke kama huyo unapomnyonya uke wake unabeba hao fungus na kuwahamishia mdomoni kwako.
Pia mwanamke anaponyonya ub.oo wako baada ya kugegedana anabeba wadudu na kuingia mdomoni kwake.
The same applies kwa kiss za mdomo kwa mdomo.
Kingine tunaogopa kufanya mapenzi bila condom (vaginal sex) na kusahau kuwa tunanyonya k, kushika mike nk ambavyo navyo michubuko hutokea na kutuweka kwenye hatari ya maambukizi ya VVU!
Tuweni makini kama na mambo tunayoiga.
Mengine ni hatari kwetu wenyewe. 🙁