Dr.zero
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 964
- 434
utoto ndio tatizo hapa.SIJUI HAYA MAMBO MTAACHA LINI YA KUDHALILISHANA? ARE YOU PARFECT?
Mkuu loya hivi vitoto vinaboa balaa..
utoto ndio tatizo hapa.SIJUI HAYA MAMBO MTAACHA LINI YA KUDHALILISHANA? ARE YOU PARFECT?
Kwanini puani na sio mdomoni au tgoni?
mh! hya bhana ila nimekoma
Yani kila post yako usipotaja neno mbunye au tigo hulali?
hayakutokea puani cos mzigo uliubanjua,ungekuwa ulifunga safari
kutoka mbeya hadi dar kuifata k na ukaikosa basi hapo ingekua habari nyingine.......
yeah ndo kukua hukoHahaaa JF sasahivi haina atofauti na Facebook....
nimefurahi.......
wewe tu , ukituma usitume ni sawa cha muhimu kwangu ni makutano yetu.
Ntamwambia akutaje, kumbe ndio watesaji wenyewe kutubandikia picha za warembo??Haha haha wewe umenichekesha Humu kila mtu na wake na tushaenea lolz..
Kaa mlangoni vizia wageni wanaoingia sasa
kwa nini umeamua hivyo unafikiri na wao watakuacha wewe subiri wataendelea tu ni bora mtaje tunataka akiendelea namwanika najua ushauri wenu umenifikia kwanzia leo ctaki wanawake wa mitandaoni
- :wave:
Tena jiite mwenye bahati, kuna jirani yangu anaitwa Kennedy alipenda picha ya demu wa kizungu kama wewe, alitumiwa nauli visa kwenda uingereza, Akitarajia kuwa amewin maisha mtoto wa kibongo kufika kule alipokelewa na bonge la baunsa la kizungu,maskini Kennedy aligeuzwa kuwa mke wa pili wa jamaa, ameliwa tigo huu mwaka wa 4 ndio amerudi, leo hii ndio kazi kutoa 0713 pale kinondoni manyanya. Sasa endelea tabia ya kupenda picha