Mapenzi ya Jf Yamenitokea Puani

Mapenzi ya Jf Yamenitokea Puani

Status
Not open for further replies.
pozyfaza kazoea watoto wa kinyaki km ma baunsa demu mwili km le mutuz sababu ya kula mbalagha na parachichiz, hapa mjini wenzie vi modo ndo habari ya mujini style zote wako flexible. Inawezekana hata dada alijikondesha ili uje uburudike wewe umemtosa khaa dhambi jamani
 
Mzinzi mkubwa. Ndo ukome kupenda picha. Mia

too much expectation inawamaliza vijana humu jf ,,,,,,,, yaani mwanaume kweli unaweza kukosa moyo wa ustahimilivu mpaka uje kusema humu maumbile ya binadamu mwenzako wakati toka awali mlifanya hayo kwa siri, wenyewe na utashi chanya.
 
Mi nakushauri ukapime 2 kijana......coz uliambulia mdudu....
 
Yaani unataka anitaje?
Da humu JF kiboko kumbe wenzetu mmeshaanza banduana zamani.
Mm nilijua ni kupost tu na kudanganyana mara kuinguia Chumvini mara kater*** kumbe kuna Practicle za kweli
halafu umemalizia vizuri huyu dem ananituc san kwa kua nime run tudadavulie anayekutusi keshaingia kwenye Thread hiiihii? maana naona km wote wamekutusi sasa mMention kabisa hata kwa ID tuyamalize kwa kuhukumu
 
nilijikunjua 2. c unajua alikua ameisha ghalamika nikashindWa kumkimbia

We ka mvulana huna hata maamuzi.. Haya mambo ya wakubwa waachie wenyewe bana.. Eti nilikuta kesha lipia hotel..(Kwa hyo ulimega huku unalalama kuuziwa mbuzi kwenye gunia.. Poleee)
 
Da humu JF kiboko kumbe wenzetu mmeshaanza banduana zamani.
Mm nilijua ni kupost tu na kudanganyana mara kuinguia Chumvini mara kater*** kumbe kuna Practicle za kweli
halafu umemalizia vizuri huyu dem ananituc san kwa kua nime run tudadavulie anayekutusi keshaingia kwenye Thread hiiihii? maana naona km wote wamekutusi sasa mMention kabisa hata kwa ID tuyamalize kwa kuhukumu

Haha haha wewe umenichekesha sanaaa..

Shaurilo we endelea kula ugali kwa picha ya samaki... Humu kila mtu na wake na tushaenea lolz..

Kaa mlangoni vizia wageni wanaoingia sasa
 
huyu pozzyfaza nae mkali.
Demu kampa picha si za kwake,
kukutana nae, "anatisha" -sijui kakonda...!
Afu anaendelea hatua nyingine anam"gegeda"
Afua ndo anaanza kulalamika.

Hahaaa JF sasahivi haina atofauti na Facebook....
 
yeah nilikumbuka mpira na kilicho nifanya nikumbuke ni hali niliyomkuta nayo ila nilipanga nikunjue goti kavu kavu, urembo wake ukunipagawisha. ila nilipo kuta c yy ndio nilipagawa zaidi

Kei uliionaje? Tupe tathimini.
 
hay! vjana wa jf,
najua mungu anatupenda na kutulinda
namshukuru kwa hilo.
juzi kati nimetokewa kupendwa na msichana humu jf, lakini yaliyonikuta ni makubwa.
coz alikua ananitumia picha nzuri sana nikajua nimepata mrembo, lakini yeye yupo dar na mm mbeya, bac bwana nikafunga safari mpaka dar, nikafika mida ya saa nne ucku, nikakuta mrembo kakodi hotel nikabanjuka kijana, nikanyoosha goti.
lakini jamani binti mwenyewe alikua tofauti na picha alizokua akinitumia.
kiranga changu nikamwambia mbona c yy coz ule urembo niliokua niiuona co. alikua anatisha coz wembamba ulikua umezidi, kiukweli nilimOgopa. nilipo ondoka nikawa nimekata mawacliano.
c ndio nikaanza kupokea msg za matuc kutoka kwake, amenitukana sana eti nilikua nataka kumchezea.
lakini haikua nia yangu coz alikua akinidanganya ata katika picha. ambazo c zake,
nilikua napenda kina dada muwe wakweli.
mcweke pic ambazo c zenu.

Na wale walioweka avatar je?
 
Tena jiite mwenye bahati, kuna jirani yangu anaitwa Kennedy alipenda picha ya demu wa kizungu kama wewe, alitumiwa nauli visa kwenda uingereza, Akitarajia kuwa amewin maisha mtoto wa kibongo kufika kule alipokelewa na bonge la baunsa la kizungu,maskini Kennedy aligeuzwa kuwa mke wa pili wa jamaa, ameliwa tigo huu mwaka wa 4 ndio amerudi, leo hii ndio kazi kutoa 0713 pale kinondoni manyanya. Sasa endelea tabia ya kupenda picha
 
kumbe umu ndani jf mnagegedana ukweli
mim napenda kusikia ushuhuda wa ndoa si kugegedana na kuachana
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom