Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Mr Rocky i Find it so hard to believe........mbeya mpaka dar na anatundanganya watu wazima kuwa eti alitoka kapa
dah Heaven on earth unayaamini haya
Last edited by a moderator:
Mr Rocky i Find it so hard to believe........mbeya mpaka dar na anatundanganya watu wazima kuwa eti alitoka kapa
dah Heaven on earth unayaamini haya
muhanga mwenzie huyo
naomba nikufungie safari ndugu,,,,,,,,,,,,,
cyo hivyo huyu dem ananituc san kwa kua nime run
hay! vjana wa jf,
najua mungu anatupenda na kutulinda
namshukuru kwa hilo.
juzi kati nimetokewa kupendwa na msichana humu jf, lakini yaliyonikuta ni makubwa.
coz alikua ananitumia picha nzuri sana nikajua nimepata mrembo, lakini yeye yupo dar na mm mbeya, bac bwana nikafunga safari mpaka dar, nikafika mida ya saa nne ucku, nikakuta mrembo kakodi hotel nikabanjuka kijana, nikanyoosha goti.
lakini jamani binti mwenyewe alikua tofauti na picha alizokua akinitumia.
kiranga changu nikamwambia mbona c yy coz ule urembo niliokua niiuona co. alikua anatisha coz wembamba ulikua umezidi, kiukweli nilimOgopa. nilipo ondoka nikawa nimekata mawacliano.
c ndio nikaanza kupokea msg za matuc kutoka kwake, amenitukana sana eti nilikua nataka kumchezea.
lakini haikua nia yangu coz alikua akinidanganya ata katika picha. ambazo c zake,
nilikua napenda kina dada muwe wakweli.
mcweke pic ambazo c zenu.
halafu ukirudi unifungulie Li thread kama hivi LOOH!!!!!!!!!
Da humu JF kiboko kumbe wenzetu mmeshaanza banduana zamani.cyo hivyo huyu dem ananituc san kwa kua nime run
na ungekuta hakuna kitobo si ndo ungepagawa kabisa .......kelewuiiiii mbavu zangu mie.
namuonea huruma kwasababu kaingizwa mjini kama mie :disapointed:muhanga mwenzie huyo
over my dead body , that i promise............ nitakufanya wa kipekee.....
i love your insight......
nianze kwa kutuma picha au utakuja kuniona mbele kwa mbele