Mapenzi ya Internet

Mkuu salamzako ntazifkisha lakini kumletahapa amwage kaujumbe ngum akizoea kina KAKAKIIZA wataniharibia ndoa

Wala sidhani kama inaweza kutokea hivyo maana namiini sana watu wa humu ndani JF. wana mipaka ila na wanajua kuheshiana ni kitu cha aina gani Jamani tumekubaliana hakuna kuchukuliana tuwagombanie wakina Preta
 
Hivi inawezekana kweli watu wakafahamiana kupitia Internet, kisha wakaelewana mpaka wakaonana, na wakapendana mpaka wakaoana? Inawezekana?
Hakuna kisichowezekana chini ya Jua,mana kama linalopangwa na Mungu binadamu hawezi kulipangua,walipendana wakaridhiana kwa nini sio?
 
inawezekanaaa ila inaitajikaaa extra care.maana mtu unampenda humjui walaa hakujuii,inawezekanaa ukapenda sanaa mwisho ukajaa kuumiaaa
 
Inawezekana sna ndo maaana kuna dating site... but kuwa mwangalifu

Mrithi wa Yusufu Lule kwa Uraisi wa Uganda ambaye sasa ni marehemu Mhe. Binaisa alipata mke kutoka Korea wa umri wake wa uzeeni lakini baadaye ilishindikana wakaachana.........................................yawezekana mila na desturi vikigongana na matarajio wawili hao waweza kuachana bila hata ya kuaagana...................kwa vijana uwezekano wakuelewena ni mkubwa kwa sababu hawajakuwa na misimamo migumu kama yetu.................wachovu.............
 
Its very possible kukutana kwenye internet halafu mkaliendeleza kwani kuna tofauti gani na kukutana sehemu zingine eg.safarini,kwenye kumbi za starehe etc. muhimu ni ninyi wawili kujua nini mnatafuta. SPAM ZIPO KWA WINGI SANA KWENYE HIZI SITES including wale wanaotaka kuvushwa kwa kukutumia wewe kama daraja la kufika mahala hahhhaha hao wapo wengi tuuuuuu!!
 
Hivi inawezekana kweli watu wakafahamiana kupitia Internet, kisha wakaelewana mpaka wakaonana, na wakapendana mpaka wakaoana? Inawezekana?
Lengo la ebsite/internet ni kupanua wigo, unajua kama wewe uko hapo Dar kwa mfaranyaki, ni vigumu sana kumwona Preta kule Yeda Chini AR lakini mkiweka picha zenu hapa (namaanisha kwenye website/internet),
kila mmoja akaona sura ya mwenzio na kusoma kaujumbe kanakoambatana na picha, kinachofuata hapo ni
kidate ili muweze kuonana ana kwa ana (aka 101). Kinachofuatia hapo ni matokeo ya internet ......... samaahaki Preta ni mfano tu ...:smile-big:
 
teh teh....mi nataka tuanze huu mchakato mimi na wewe.....halafu tuwaaibishe hao wanaosema haiwezekani
 
Inawezekana tena sana tu. Kwani kukutana na mwenza wako ni sehemu yoyote, kwenye arusi, misiba, birthday, sendof, mikutanoni, workshop, kisimani, kukata kuni,kanisani , sokoni na mpaka MJENGONI DODOMA. Sasa usishangae kuona copuples wa kwenye internet ni sawa kabisa, tena kwa kutumia uandishi au USANII WA VIDOLE UTAMSOMA MWENZIO IQ yake vizuri saana. mie ninamifano hai ya watu ambao wamekutana kwa kuchat tena enzi hizo hotmail au yahoo na wanaishi poa kabisa na familia zao. Ila uangalifu ni kitu cha kwanza. Kama ni mzuri kuweka maswali yako kimaandishi na mchambuzi wa mambo, ukisoma maandiko ya mwenzako word by word utamtambua yupi mkweli na yupi anazuga tu. Lazima uwe critical sana ndio utafanikiwa. Ukitaka mbinu nitafute takusaidia.
 
teh teh....mi nataka tuanze huu mchakato mimi na wewe.....halafu tuwaaibishe hao wanaosema haiwezekani
Ya kweli hayo mtoto wa Yeda Chini ............. Ngoja niende jim kwanza maana nasikia unapenda vifuu vikubwa, ila usininywee mkongoraa kwanza maana nimeona kule ... kuwa na nyie huwa mnatumiaga hii kitu
afu sijui hata kama huwa inafanya kazi ..........mi nadhani ni imani za watu tu......:thinking:
 
Back
Top Bottom