ukikutana na gamba la kobe, kauzu kuzidi kauzu yenyewe, nakwambia hata uka-do naye chini ya bahari na kuimba ala kupita za elton john, HABADILIKI NG'O! ndivyo walivyo wakupenda kutetemekewa! lol!Cha kufanya mfurahishe sku moja hasa uwanjan, katikati ya mech mueleze kwa upole na kimahaba kuwa hupendezwi na tabia yake, mwambie kila mtu ana mapungufu na mtu akikosea asisite kukir kosa na kuomba msamaha ikishindikana, Panga sku moja mtoe out au mfanyie suprise katikat ya furaha mweleze kila kitu mwambie unampenda na unamuomba si lazma ila ni vizur kwa uhai wa penz lenu hapo atakuelewa, best wishes beloved
nina uhakiak huyu mwanamke kuna mambo flan flan anatufica ..haiwezekani na hapa duniani siamini kama kuna situation kama hiyo ..eti ukosee wewe then uombwe msamaha wewe? hivi jamani inaingia akilini kweli? mboan siamnini jamani ..ina maana wewe ni zuzu ..wewe hujui haki yako kama mwanamke? ama kama binadamu yoyote? sasa kwa nini umeenda shule? hata kuku ama kondoo ukimpiga anaweza kukuletea noma kwa vile anajau kuwa unamuonea sasa wewe na umeenda kabisa na shule THEN UNAONEWA KIASI HIKI ? NINA UHAKIKA HAPA HUJALETA HII MADA YAKO KWA UMAKINI.KUAN MAMBO UMEYAACHA ..WEKA KILA KITU.huwa nashindwa kukubali kama wanawake wa hivyo bado wanaexist! yaani mtu akose yeye, niombe msamaha mimi, sasa unamwambiaga am sorry foe the mistake u did, au??? aarrgggghh achana naye, TUPA KULEEEE, mapema, utampata ambaye atajitambua tu kila anapokosea. inakera sana, sasa baada ya ndoa si atakwambia umrambe miguu yake kila asubuhi??? pole lakini!
mambo ya tamthilia hayana uhalisia
nimeshatembea na hapa ndo nimefika sasa......
amesahau pia kuwa mwana umleavyo, kama sasa mpo kwenye uchumba anabehave hivyo, mkifunga ndoa itakuajeeee??? naumiss usichana wangu, siku-uenjoy kwa kweli, got married at 20yrs. yaani watu kama hawa ningekuwa wala sina mjadala wala kufikiria, ni mwendo wa kutupa kuleeee, fasta kwanza!nina uhakiak huyu mwanamke kuna mambo flan flan anatufica ..haiwezekani na hapa duniani siamini kama kuna situation kama hiyo ..eti ukosee wewe then uombwe msamaha wewe? hivi jamani inaingia akilini kweli? mboan siamnini jamani ..ina maana wewe ni zuzu ..wewe hujui haki yako kama mwanamke? ama kama binadamu yoyote? sasa kwa nini umeenda shule? hata kuku ama kondoo ukimpiga anaweza kukuletea noma kwa vile anajau kuwa unamuonea sasa wewe na umeenda kabisa na shule THEN UNAONEWA KIASI HIKI ? NINA UHAKIKA HAPA HUJALETA HII MADA YAKO KWA UMAKINI.KUAN MAMBO UMEYAACHA ..WEKA KILA KITU.
ukikutana na gamba la kobe, kauzu kuzidi kauzu yenyewe, nakwambia hata uka-do naye chini ya bahari na kuimba ala kupita za elton john, HABADILIKI NG'O! ndivyo walivyo wakupenda kutetemekewa! lol!
kama nimeamua kuomba msaada sina haja ya kuficha, he z best kwenye baadhi ya mambo na he z gud pia kwenye mambo mengine ila hili ndo baya kuliko yote, bad enough ye haoni kama ni shida coz alishawah kuniuliza "wat does t cost u ukininyenyekea(tetemekea)? hiki kitu uvumilivu unanishindanina uhakiak huyu mwanamke kuna mambo flan flan anatufica ..haiwezekani na hapa duniani siamini kama kuna situation kama hiyo ..eti ukosee wewe then uombwe msamaha wewe? hivi jamani inaingia akilini kweli? mboan siamnini jamani ..ina maana wewe ni zuzu ..wewe hujui haki yako kama mwanamke? ama kama binadamu yoyote? sasa kwa nini umeenda shule? hata kuku ama kondoo ukimpiga anaweza kukuletea noma kwa vile anajau kuwa unamuonea sasa wewe na umeenda kabisa na shule THEN UNAONEWA KIASI HIKI ? NINA UHAKIKA HAPA HUJALETA HII MADA YAKO KWA UMAKINI.KUAN MAMBO UMEYAACHA ..WEKA KILA KITU.
Hee ndo kama hizo kumbeee eeh
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Kabisaaaa!
njoo kwangu sina michongo hiyo
Kula na kipofu usimshike mkono wewe! Kama umeshindwa kumtetemekea achia mzigo uone wanaojua kutetemekea watu waki-cover nafasi....
Mpenzi wangu anapenda
sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe
msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi
kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!
Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!
Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!