Mapenzi ya hivi ni kero sana

Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!

Yaani hapo umenena...yaani mtu anakuchokoza mwenyewe unaamsha hasira. ..inakupelekea kumuadhibu...unakuta anakukosea heshima...baasi ukimwadhibu ndiyi kwanza wewe umefanya kosa...anataka mpaka eti mkae kikao na wazazi....mambo ya kutetemekeana yeshapitwa na wakati...niheshimu nikuheshimu baasiii
 
Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!

Kuna vitu vinamsumbua na ni hivi, Mosi : Keshajua umekufa umeoza na upo tayar kua nae kwa lolote, Pili : Wapo mabinti wenzio wanaomtaka kwa hudi na uvumba sasa anaringa sabab ye ni mauzo muda wowote ana pick kati yao, Tatu : Labda Bado kichwani utoto unamsumbua
Ushauri wangu kaa nae chini muambie upendi iyo hali na kuna muda unakosa raha na kujihisi upendwi na ni heri akuambie mapema kama hana mipango nawewe kwani hata wewe huna muda wa kupoteza na ipo siku utaamua kukaa kimya kimoja kwa uo utoto wake.

Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!

ebu tupe mrejesho
 
Nyie nanyi mnayafanya makuuubwa mambo ya enzi hizo hata sikumbuki nilikuwa namzungumzia nani aaaahhh
 
Hana mapenz ya dhati kwako. Tupa kulee omba upya..kwenye ndoa siku ukiwa na hamu af mnabif utaita maji mma,maana atakwambia nilambe kisigino ndo tunanhii.. Omba upya,au omba abadilike.. Kaaaz n kwako
anatakiwa awe mkali kama huyo dada kwenye avatar yako
 
Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!

Hapo ndio umefika na huyo ni mchumba tu. Hiyo ni trailer, movie itaanza ukiolewa!
 
huhuhuuuu wanatetemekaaaaaa shida asa hapo huyo min sijamuelewa au afande
 
Nyie nanyi mnayafanya makuuubwa mambo ya enzi hizo hata sikumbuki nilikuwa namzungumzia nani aaaahhh

Ha ha haaa umenichekesha sana mamy..watu wamekomalia sredi na ww ushamsahau..mi kuna kipindi nlimliliaga sana mwanaume hadi nkataka kunywa sumu lakini eti saiv hata jina la huyo mkaka silikumbuki..duh
 
Back
Top Bottom