Mapenzi ya hivi ni kero sana

Onyesha heshima kwake na sio kutetemeka, siku akinuna mwache km cku tatu kabla ya kumtafuta na kuongea nae badala ya kumtetemekea
 
Huo mkungu wa ndizi, unavyozidi kuendelea na safari unazidi uzito. Akikuoa huyo utaona rangi aisee. Kuna mdada mumewe alimuanzishia faili la barua za kuomba msamaha. Sijui aliishia wapi manake hawajaachana hadi leo ila nahisi faili limejaa. Wehu tunapishana nao mjini kila leo, basi yu
 
Hapo mi sielewi we ni me au ke kama ni me hujajua thamani yako temana na huyo mtu wa hivyo hakupi dhamani yako wanaume tuko wachache sana na hatuna pressure ya kuoa kwani mda wowote unaweza fanya hivyo jiamini
 
Hana mapenz ya dhati kwako. Tupa kulee omba upya..kwenye ndoa siku ukiwa na hamu af mnabif utaita maji mma,maana atakwambia nilambe kisigino ndo tunanhii.. Omba upya,au omba abadilike.. Kaaaz n kwako
 
Hapo mi sielewi we ni me au ke kama ni me hujajua thamani yako temana na huyo mtu wa hivyo hakupi dhamani yako wanaume tuko wachache sana na hatuna pressure ya kuoa kwani mda wowote unaweza fanya hivyo jiamini
Ndugu mwanaume gani anaitwa Evelyne?
 
Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!

Mhhh sio bure...
 
kama ndo kwanza fiance halafu ameanza kukuonyesha rangi zote, kaa mbali. watu wa namna hiyo huwa wanapiga nje kishenzi halafu anafanya makusudi kukutunishia misuli na kununa sana ili usimuulize chochote. atakufanya mtumwa wake na huku akiendelea na vidosho vyake nje.
wapo washikaji zangu wa namna hiyo, na wanafanya makusudi kabisa kuficha mambo yao ya nje ya gate. wanapiga nje sanaa kwa kutegemea akiingia ndani ni kununa na ukali kwa sana ili usiulize.
itafika wakati utaanza kuomba mechi (unyumba) wewe mwenyewe tena kwa kubembeleza sana tu.
Si ajabu na wewe ukaanza kutafuta pozeo nje, na hapo hakutakuwa na ndoa tena.
Epuka utumwa mapema!!!
 
Cha kufanya mfurahishe sku moja hasa uwanjan, katikati ya mech mueleze kwa upole na kimahaba kuwa hupendezwi na tabia yake, mwambie kila mtu ana mapungufu na mtu akikosea asisite kukir kosa na kuomba msamaha ikishindikana, Panga sku moja mtoe out au mfanyie suprise katikat ya furaha mweleze kila kitu mwambie unampenda na unamuomba si lazma ila ni vizur kwa uhai wa penz lenu hapo atakuelewa, best wishes beloved
 
ahsante.....
 
mambo ya tamthilia hayana uhalisia
 
Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!

Kumbuka kuwa hata ukimuacha kama watu walivyokushauri hapa hutokuja kupata mtu mwingine ambaye hana kasoro. Unaweza kwanza ndio ukaingia chaka zaidi..kwanza kumbuka ulikotoka na hapo ulipo na kaa ukijua kuwa ukiona relation imesimama jua kuwa wamevumiliana kwa mengi. Kama huamini uliza rafiki zako wanaokuzunguka ambao wapo kwenye relation. Je wanakumbana na matatizo gani? Halafu wewe utajiona kuwa kumbe upo peponi. Hilo tatizo lako unaweza kulisovu na wala sio kumuacha ila unaweza kufuata zaidi roho yako
 
huwa nashindwa kukubali kama wanawake wa hivyo bado wanaexist! yaani mtu akose yeye, niombe msamaha mimi, sasa unamwambiaga am sorry foe the mistake u did, au??? aarrgggghh achana naye, TUPA KULEEEE, mapema, utampata ambaye atajitambua tu kila anapokosea. inakera sana, sasa baada ya ndoa si atakwambia umrambe miguu yake kila asubuhi??? pole lakini!
 
Back
Top Bottom