Mapenzi ya hivi ni kero sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi ya hivi ni kero sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Evelyn Salt, Sep 25, 2012.

 1. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 40,608
  Likes Received: 23,096
  Trophy Points: 280
  Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!
   
 2. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,554
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Wewe ni *****, utamuombaje msamaha kwa kosa alilofanya yeye? Usikubali kuwa mtumwa wa penzi.
   
 3. M

  MR.LEO Senior Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mdau,kwanza haujafunguka vizuri maana hujasema anapenda kutetemekewa kwa mambo na vile vile umewahi kukaa naye na kumweleza hilo jambo? Kitu kingine ambacho kabla hujapewa ushauri ni vizuri ukiweka bayana tofauti ya umri kati yako na yeye coz that could be one of other reasons!
   
 4. data

  data JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 14,660
  Likes Received: 4,260
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 40,608
  Likes Received: 23,096
  Trophy Points: 280
  Nshamwambia sana hadi nimechoka, mambo tu ya hapa na pale akiongea kitu nikimwambia cijapenda ananuna hadi mi ndo nianze tena kubembeleza.....
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Kula na kipofu usimshike mkono wewe! Kama umeshindwa kumtetemekea achia mzigo uone wanaojua kutetemekea watu waki-cover nafasi....
   
 7. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 691
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Evelyne Salt huyu ni mume au mpenzi tu? kama ni mpenzi tu, kwanini ujipe pressure umeshamwambia hataki... wewe unatatizo gani, tua mzigo tafuta mpenzi anayekupenda sio huyo anayetaka umuogope.. anakuwa kama mtoto aliyekosa ziwa la mamake bana!! aaagrrr watu wanapata wapenzi wazuri wanaojali wao wanapeperusha ndege....inaudhi sana....
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,723
  Likes Received: 1,229
  Trophy Points: 280
  haya bhana....
   
 9. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ndio mara ya kwanza kupendwa? ukitembea huoni watu wengine wakukupenda?
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,894
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hivi huwa mkiambiwa mapenzi ni gharama mnafikiri gharama ni zip?
   
 11. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 40,608
  Likes Received: 23,096
  Trophy Points: 280
  huyu ni fiance, huz to be mungu akipenda
   
 12. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 40,608
  Likes Received: 23,096
  Trophy Points: 280
  nimeshatembea na hapa ndo nimefika sasa......
   
 13. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa unataka ushauri gani na wewe upo radhi akikosa mwenzako wewe ndio unaomba msamaha?
   
 14. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,894
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Kumbe majibu unayo hapo kwenye red, vumilia sasa
   
 15. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 40,608
  Likes Received: 23,096
  Trophy Points: 280
  Ndo nshachoka sasa.... na si kuwa nipo radhi ni funika kombe tu, kujiepushia stress zisizo na maana ndo maana ninafanya hivo
   
 16. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 691
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Sasa hapa nadhani kuna haja ya kufanya maombi, kama vipi jiunge na sisi pale kwa Kakobe! naona ndio kitakachokuokoa!!!
   
 17. Root

  Root JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,530
  Likes Received: 8,077
  Trophy Points: 280
  Tusisubiri kuombwa msamaha tusamehe kwa waliotukosea,watajifunza kitu kupitia wewe na hivyo ndo twatakiwa tuwe
   
 18. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Endelea kufunika kombe.
   
 19. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 40,608
  Likes Received: 23,096
  Trophy Points: 280
  aaaaaggggggggggggrrrrrr
   
 20. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,894
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hata ukinitukana,narudia tena VUMILIA
   
Loading...