Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
😅😅 unaakili Sana mkuu.Sikuwahi ku date mwanachuo najua atanimalizia boom mi mwenyewe halijawahi nitosha hadi nikawa nakopa kwa riba
tena wa CHUMAduh!! anamoyo
Hapo nani amegongewa???Inasikitisha ila pia inafurahisha🤣🤣View attachment 1519680
Mapenzi moto moto
View attachment 1519707
Waliendelea na mapenzi na kufaulu kwenda mwaka wa pili. Walipendana SANA😄😄
View attachment 1519711
Na pete ya Uchumba juu🤣🤣
View attachment 1519712
Ila kandege kalipeperuka kwa wenye fweza. Bora nipooze machungu
ILA NA WEWE UMEMGONGEA MKEWE tena kwa miaka kibaoAliyeishiwa nguvu za miguu ndo mwenye kugongewa😁😄 . Toka kuwa beby hadi kuwa shem
Inasikitisha ila pia inafurahisha[emoji1787][emoji1787]View attachment 1519680
Mapenzi moto moto
View attachment 1519707
Waliendelea na mapenzi na kufaulu kwenda mwaka wa pili. Walipendana SANA[emoji1][emoji1]
View attachment 1519711
Na pete ya Uchumba juu[emoji1787][emoji1787]
View attachment 1519712
Ila kandege kalipeperuka kwa wenye fweza. Bora nipooze machungu