Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Dah!!!,Mapenzi ya chuo ni uongo
😅😅 unaakili Sana mkuu.Sikuwahi ku date mwanachuo najua atanimalizia boom mi mwenyewe halijawahi nitosha hadi nikawa nakopa kwa riba
tena wa CHUMAduh!! anamoyo
Hapo nani amegongewa???Inasikitisha ila pia inafurahisha🤣🤣View attachment 1519680
Mapenzi moto moto
View attachment 1519707
Waliendelea na mapenzi na kufaulu kwenda mwaka wa pili. Walipendana SANA😄😄
View attachment 1519711
Na pete ya Uchumba juu🤣🤣
View attachment 1519712
Ila kandege kalipeperuka kwa wenye fweza. Bora nipooze machungu
ILA NA WEWE UMEMGONGEA MKEWE tena kwa miaka kibaoAliyeishiwa nguvu za miguu ndo mwenye kugongewa😁😄 . Toka kuwa beby hadi kuwa shem
Inasikitisha ila pia inafurahishaView attachment 1519680
Mapenzi moto moto
View attachment 1519707
Waliendelea na mapenzi na kufaulu kwenda mwaka wa pili. Walipendana SANA
View attachment 1519711
Na pete ya Uchumba juu
View attachment 1519712
Ila kandege kalipeperuka kwa wenye fweza. Bora nipooze machungu