Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Haiwezi chacha![]()
![]()
![]()
angalia itachacha
Haiwezi chacha![]()
![]()
![]()
angalia itachacha
Kweli kabisa... Not fairSasa huyo anaekupenda utakuta huna hata hisia nae na ukijifosi kuwa nae ni kama unajitesa roho, mimi nahic hii phenomena inasababishwa na mapepo coz si bure hii ni laana na inawatafuna watu wengi sana, yani ukipata MTU mnaependana sana at the same rate na mkadumu na kuvumiliana mpaka kifo you're sooooooooooo lucky..chances za kumpata MTU kama huyo ni 1 in a 100 million Paprika
Ni kweli ukiona mapenzi yanazingua ni bora kuachana nayo na kufanya vitu vinginedawa ni kuachana nayo
Hahaha,ndo itabidi ukubali tu matokeo
We jamaa mjinga sana yaani kama unaiona naendeshwa vibaya mnoo huku ye wala hajal


pole sana, ila ukija kukata tamaa yeye ndo anaanza kukaba penaltyacha tu yalinikuta![]()
![]()
![]()
na me nimecheka kwa herufi kubwa pia
Duuuh ilikua mwaka gan hyooacha tu yalinikuta
Unakuta mtu anayekupenda we humpendi unapenda mwingine, na huyo hakupendi anapenda mwingine na yeye hapendwi anapendwa mwingine. Yaani utakuta ni foleni ya wanaopenda wasipopendwa mpaka basi. Wachache sana imetokea wanapendana bila kupenda kwingine esp wanaume.
Sasa inatokea unasubir sms kwa unayempenda sana ila hakupendi inapoingia unakuta sio yeye bali ni ya yule anayekupenda ila we humpendi. Unaona kama inaboa hivi wakati mwenzio na yeye anasubir majibu kama wewe unavyosubir kwa unayempenda. Yaani ni shiiiiida kweli, ivi ishawahi kuwatokea?![]()
Alafu sasa kuna kwann unaionapole sana, ila ukija kukata tamaa yeye ndo anaanza kukaba penalty
Asubiri nini tena ?Em subiri kwanza