Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Hakuna kitu kigumu kama kuishi na mtu usiyempendaBasi haupo kwenye hiyo chain!!!
Ila bana, lazima kuna anaekupenda... Ukute unampiga kikumbo au kumpuuzia sababu unampenda mwingine
Hakuna kitu kigumu kama kuishi na mtu usiyempendaBasi haupo kwenye hiyo chain!!!
Ila bana, lazima kuna anaekupenda... Ukute unampiga kikumbo au kumpuuzia sababu unampenda mwingine
Not really!!! Naiacha ibanebane for my hubbyItabid tufike huko au kuwe na FWB tu basi

Kwangu ni bora mtu anipende... Ntampenda tu baadae. Ishu ya mimi kumpenda asie nipenda wala siwezi aisee!!! Ntaumia moyo kila siku.Hakuna kitu kigumu kama kuishi na mtu usiyempenda
Unaongea tu paprika na iyo kitu ni ngumu sana zat y unawabania wote wanaokutokea ambao ujawapendaKwangu ni bora mtu anipende... Ntampenda tu baadae. Ishu ya mimi kumpenda asie nipenda wala siwezi aisee!!! Ntaumia moyo kila siku.
Simkatalii mtu sababu sijampenda...Unaongea tu paprika na iyo kitu ni ngumu sana zat y unawabania wote wanaokutokea ambao ujawapenda
Enzi hizo na siyo zama hizi za machaguo kibaoSimkatalii mtu sababu sijampenda...
Love is born, it grows and it dies!!! Ni kama living thing. Nikiwa na mtu anaenioenda najua baada ya mda ntampenda pia.
Wazazi wetu walikutanishwa tu kwenye ndoa ila wakaja pendana mpaka leo hii...
Basi mie bado wa enzi za zamani!!! Nenda nnakopendwaEnzi hizo na siyo zama hizi za machaguo kibao
Tena sms ikiingia unakuta ukidhani ni yeye unakuta voda wanakwambia imebaki siku moja kumaliza kuuza hisa unafyonza kwa herufi kubwaa
na me nimecheka kwa herufi kubwa piaPole asèe. Ni shiiiida, afu ukute mke yupo ndani unahangaika na mwingine, lazima uweke ???? MarkAnyway, I am experiencing that situation recently.
Tena sms ikiingia unakuta ukidhani ni yeye unakuta voda wanakwambia imebaki siku moja kumaliza kuuza hisa unafyonza kwa herufi kubwaa

noma kweli rafiki yanguKukubali kishindwa na kuendelea na anaekupenda...