Mapenzi ya kweli utapata kwa huyu

  • Thread starter denzo washington
  • Start date

D

denzo washington

Member
Joined
May 7, 2013
Messages
23
Points
0
Age
30
D

denzo washington

Member
Joined May 7, 2013
23 0
Katika maisha kamwe usije mdharau au kumtesa mtu ambaye anakupenda,kukuthamin na kukujali kwa dhati,ogopa sana.mara nyingi inatokea unakuta mtu anakupenda kwa dhati na unalijua hilo,anafanya mambo kibao kwa ajili yako,yupo tayari ajinyime yeye ili tu wewe upate,ogopa sana kumdharau mtu wa aina hii,kwani imethibitishwa penzi la dhati ni lile la mwanaume kumpenda msichana,na sio msichana kumpenda mwanaume apa dada utateseka sana,tena utajuta kuzaliwa,kama ukibahatika kumpata mtu anayekupenda we tulia,najua mapenzi ni hisia,inawezekana ukawa unampenda mtu mwingine kabisa ila ukweli utabaki kuwa huu,mwanaume akikupenda kakupenda,hata awe malaya kiasi gani kama kakupenda wewe kakupenda tu.tofauti na wasichana kama ukilazimisha kuwa na mvulana kwa kuwa umemtamani sijui handsome,sijui.ana sex body utaambuliwa kuchezewa na kuumizwa tu,kamwe hawezi kukupenda.mwanaume akikupenda utajua tu hata awe malaya kiasi gani,na kwa taarifa yako tu umalaya wa mwanaume sio kama hakupendi au umridhishi bali ni hulka tu ya kiume hiko hvyo,so kama ukipata mtu anayekupenda mpende tu kama unajipenda na hutak kuumiza moyo wako
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
25,082
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
25,082 2,000
Asante kwa kuona hili.
 
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,244
Points
2,000
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,244 2,000
Mmh touching words...
 
kyanaKyoMuhaya

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
1,953
Points
1,225
kyanaKyoMuhaya

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2012
1,953 1,225
Katika maisha kamwe usije mdharau au kumtesa mtu ambaye anakupenda,kukuthamin na kukujali kwa dhati,ogopa sana.mara nyingi inatokea unakuta mtu anakupenda kwa dhati na unalijua hilo,anafanya mambo kibao kwa ajili yako,yupo tayari ajinyime yeye ili tu wewe upate,ogopa sana kumdharau mtu wa aina hii,kwani imethibitishwa penzi la dhati ni lile la mwanaume kumpenda msichana,na sio msichana kumpenda mwanaume apa dada utateseka sana,tena utajuta kuzaliwa,kama ukibahatika kumpata mtu anayekupenda we tulia,najua mapenzi ni hisia,inawezekana ukawa unampenda mtu mwingine kabisa ila ukweli utabaki kuwa huu,mwanaume akikupenda kakupenda,hata awe malaya kiasi gani kama kakupenda wewe kakupenda tu.tofauti na wasichana kama ukilazimisha kuwa na mvulana kwa kuwa umemtamani sijui handsome,sijui.ana sex body utaambuliwa kuchezewa na kuumizwa tu,kamwe hawezi kukupenda.mwanaume akikupenda utajua tu hata awe malaya kiasi gani,na kwa taarifa yako tu umalaya wa mwanaume sio kama hakupendi au umridhishi bali ni hulka tu ya kiume hiko hvyo,so kama ukipata mtu anayekupenda mpende tu kama unajipenda na hutak kuumiza moyo wako
kwa Akili hii ukimwi hautaisha.
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,323
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,323 2,000
....mmh kama nilie vile!!!!!
 
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,040
Points
2,000
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,040 2,000
Aisee umenena vyema mno.Mungu akubariki.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,667
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,667 2,000
Sasa thread za MMU zinaletwa jukwaa la Celeb!! JF imevamiwa na kizazi cha Murugo na Kawambwa, haya ndio madhara ya standardization.
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,497
Points
2,000
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,497 2,000
Sasa thread za MMU zinaletwa jukwaa la Celeb!! JF imevamiwa na kizazi cha Murugo na Kawambwa, haya ndio madhara ya standardization.
Bora umeona mkuu maana nilidhani castle lite zimenipeleka MMU badala ya Celebrate Forum!
 
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,142
Points
2,000
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,142 2,000
Bora umeona mkuu maana nilidhani castle lite zimenipeleka MMU badala ya Celebrate Forum!
mi mwenyewe nikajua ntakutana na kajina ka celeb in the middle......,
 
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,244
Points
2,000
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,244 2,000
Mmh cshangai coz umbea na majungu ndo fani yenu,kama message imewagusa mtajijuaaaa
 
Forum statistics

Threads 1,284,830
Members 494,294
Posts 30,841,706
Top