Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,193
Nipo cute..... Nilimiss uwepo wako jana etiMzima HB?!
Sorry nilikuwa sipo nipo kidogo..
Nipo cute..... Nilimiss uwepo wako jana etiMzima HB?!
Sorry nilikuwa sipo nipo kidogo..
Asante mkuuNaona umerudi mkuu, karibu tena
Ukiwa na pesa unakuwa HB balaa sijui kwanini tu!!Uzuri upo machoni mwa mutu... Wewe HB wako si naniii
Nimekumiss sijui kwanini!!Hahaaaa kah
Ukiwa na pesa unakuwa HB balaa sijui kwanini tu!!
Ulifichwa wapi?
Huku kwetu hamna mvua bwana, ila baridi tu.Hahaaaa!mvua Hii si unaiona?!!
Hahahaaaa!!! Mbona hata hukunipa hi jamani!!
Si ndio vizuri hilo joto lipungue jamani.Huku toka jana mpk Leo haijapoa
Hahahaaa!! Si ili apate kazi ya kufanya.Na watuhumiwa Wa makonda wazidi
Hali ya hewa pendwa.Hahaaa!maana Leo guest nyingi zimejaa na ubaridi hui
Eti umesema!! Kwani shemeji yuko wapi?Hahahaaaaa!acha wengine tumekumbatia blanket chapa mtu