Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni nini jamani?

[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shoga angu mie mwenyewe mgeni hapo kwa huyo kijana. Labda tuwaulize waloliwa na myuesiei kama kuna mwenzao mtanga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema myuesiei hatari anatafuna sana na yeye
Hahahaaa loih!kwani kina nani kawala?nyie watanga mkujee
 
Ni hisia tu, even love itself...it's feelings. And you know what's up with feelings, they're just like life. Hisia zinazaliwa, lakini at the end hisia zinakufa, you'd be so lucky to maintain your feelings to the same person for the rest of your life.
Shemeji nakusalimia tu ndugu yangu anakumiss tu kila siku anakutaja
 
Mapenzi sio pesa na yanathamani kubwa kuliko kitu chochote kinachoweza kununulika mapenzi ni illusions
 
Back
Top Bottom