Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Auntie ni wewe ndio umeturithisha ujueYaani huu msongamano balaa tupu auntie yangu, ila nanyi sijui mmelogwa!!! Mbona mmekazana hivi!!
Auntie ni wewe ndio umeturithisha ujueYaani huu msongamano balaa tupu auntie yangu, ila nanyi sijui mmelogwa!!! Mbona mmekazana hivi!!
Rudi tu shemMmmh, basi itabidi nirudi kinyume kuangalia.
Yaani acha tuu jamaniHahahahaha yaan kama nakuona
HahahaNaona auntie umekazana kweli hadi sasa umehamia kw uncle zako!!! Kweli dunia simama nishuke. T ukuje tutambike ukoo ushaharibika huu.
MmmhNgoja nifikirie kwanza.
WoyoooooHivi my sakayo ana damu yako? Tutafanya sala tuvunje maagano ya undugu ili nisikose utam wa baby wangu.
Ubaki kuwa ex tu, manake sasa hatuwezi kuachana![]()
Hhhahahha tunaachikaje sasaHey mambooo!!!mtaachika na umbea wenu
KhaaaaWoyooooo
Shunie, sakayo ni habari nyingine ujuwe!!Khaaaa
WoyoooooooooShunie, sakayo ni habari nyingine ujuwe!!
Oooh kumbe!!Hapana huyu ni mtu tu anayejulikana vizuri tu anatuchezea na maids yake mengi
Hapana mm sina tabia hizo kwakweli.Auntie ni wewe ndio umeturithisha ujue
Salama kabisa mama.Nyie Jana mmelala kweli?za asubuhi binamuu
Mlikorithi hilo balaa mrudi mkatambike maana vya kurithi vinazidigi.Hahaha
Jamani