Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
HahahaAuntie usiniambie umekesha humu
Halafu imebidi nisikipu!
Hebu nipe mshindo nyuma wa kinachoendelea kwanza
HahahaAuntie usiniambie umekesha humu
Nani anakuteka jamanii[emoji8][emoji8][emoji8]
Mbona una roho ya 'kwa nini' shunie?[emoji16]Kwahiyo mm quote yangu jana ukanichunia eeenh
Nipo mchuchu, hii mvua tu ni hamasishi sana.Nani anakuteka jamanii
Nakupenda kidogo.Nakupenda ujue
Sio wewe jamani ni huyo bwa shemejiMbona nilikujibu jamanii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha umbea utasutwa au umesahau halafu wewe hujawahi kukutana na cha matusiHahaha
Halafu imebidi nisikipu!
Hebu nipe mshindo nyuma wa kinachoendelea kwanza
Hapana auntie, kawaida naamka saa11, nilivyomaliza shughuli zangu ndio nikaingia humu. Huoni ni post ya saa1 hiyo!!Auntie usiniambie umekesha humu
Sio roho ya kwa nini kwa nini jana haujanijibu quote yangu lakiniMbona una roho ya 'kwa nini' shunie?[emoji16]
WoyooooooooNipo mchuchu, hii mvua tu ni hamasishi sana.
Me nakupenda sanaNakupenda kidogo.
Wapi nilikuchunia shem, siwezi kufanya hivyo bwana. Labda kwa vile notification zinakuwa ishu wakati mwingine.Sio wewe jamani ni huyo bwa shemeji
Oooh sawa auntie nikajua umekesha bado kumlilia myuesieiHapana auntie, kawaida naamka saa11, nilivyomaliza shughuli zangu ndio nikaingia humu. Huoni ni post ya saa1 hiyo!!
Hivyo unakula kuku na mayai yake my ex??? Kweli dunia msongamano.Nipo mchuchu, hii mvua tu ni hamasishi sana.
Kwa hapo nimesamehe ni kwenye thread hii hii jamaniWapi nilikuchunia shem, siwezi kufanya hivyo bwana. Labda kwa vile notification zinakuwa ishu wakati mwingine.
JamaniNipo mchuchu, hii mvua tu ni hamasishi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakuchanganya na auntie yakoHivyo unakula kuku na mayai yake my ex??? Kweli dunia msongamano.
Sakayo alivyo muoga sijui atalia!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha umbea utasutwa au umesahau halafu wewe hujawahi kukutana na cha matusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani
Ko unanikwepa ama! Mimi naumia sana
Nisamehe mimiNakupenda kidogo.