Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni kiherere cha macho kinachosababisha moyo uongeze bidii kwenye kusukuma damu na kuipeleka kusikotakiwa.Matokeo yake kunakuwa na upungufu wa damu kichwani hali ambayo inasababisha hayo yote uliyotaja kutokea.Penzi ladhati ni lile ambalo haliongozwi ni kiherehere cha macho na ukilipata usiliache
 
Hivyo unakula kuku na mayai yake my ex??? Kweli dunia msongamano.
Hivi my sakayo ana damu yako? Tutafanya sala tuvunje maagano ya undugu ili nisikose utam wa baby wangu.

Ubaki kuwa ex tu, manake sasa hatuwezi kuachana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hivi my sakayo ana damu yako? Tutafanya sala tuvunje maagano ya undugu ili nisikose utam wa baby wangu.

Ubaki kuwa ex tu, manake sasa hatuwezi kuachana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom