Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,380
- 88,735
Si uliamua kudharau. Usitake mmoja akaponza wenzie wanaojiheshimu. Endelea kumdharau mpaka ajione mjingaKichaa changu karibu kinanipanda....
Nafikiria kuanzisha uzi wenye orodha ya majina ya niliowala.
Orodha hiyo itasheheni taarifa nyeti na za kina na ushahidi usiopingika.
Ngoja waendelee na chokochoko zao. Tutashindana kuonyeshana nani ni kichaa zaidi.
Hapatatosha humu.

